Nilikabwa nikanyang'anywa simu ya android, nawezaje kuipata??

Nilikabwa nikanyang'anywa simu ya android, nawezaje kuipata??

makelejasix

Member
Joined
May 18, 2017
Posts
11
Reaction score
7
Siku jumamosi nilikabwa nikanyang'anywa simu yangu bahati nzuri nikafanikiwa kubaki na mmoja wa hao watu wakabaji.kwa sasa Mimi ninajiuliza nitaipataje maana hata aliyekamatwa kagoma kutoa ushirikiano anaweza akafungwa na simu yangu ya android nisiipate.imei namba yake ninayo.nilijaribu kuiserch google map imezimwa siku tano zilizopita.baadae imegoma hata kuonyesha
c49833d54887d293297cf86c30e43ef4.jpg
 
Kosa ulilofanya ni kumpeleka polisi huyo ungetulia nae ghetto angekupeleka kabisa ilipo
Alikosea kumpeleka polisi, huyo unampeleka geto kimia kimia kisha unamtaftia vijana wawili wenye nguvu wanamfir.a vya kutosha kisha unamuachia, akirudia basi atakua na matatizo ya akili.
 
Back
Top Bottom