Nilijua ni story tu ila dah! Pisi kali punguzeni kulia shida

Chukua zigo hilo
 
Mademu wanaomba sana,sio hao tu hata wanaofanya kazi nzuri maofisini wanaomba kinoma.

Thus why watu kwenye sex wanawa treat vibaya.
 
Alikua na maji makubwa. Nikampa offer ya kumnunulia beer
Mkuu hapo ndio ulipoharibu sasa!! Anaekunywa maji unaendelea kumnunulia maji mpaka aseme mwenyewe.
Yaani hapo ilikua ni mwendo wa waiter muongezee kinywaji; Huyo angejiongeza mwenyewe na kusema atachokunywa bila wewe kutoa offer ya kumnunulia beer - ukampa mwanya wa kuagizia "Henken"
 
Mario wake "Sugar mummy" kwa pisi kali umepotea mkuu!!
 
Sio kila mwanamke anaweza kukufaa, kama unamwona wa gharama achana nae, sio size yako.

Mwachie nafasi kutane na wanaotoa matumizi bila hata kuombwa..... wapo

Na hao ndio wanaomfaa na yeye ndio anayewafaa
Chama kimoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…