Nilijinunulia Pete, Nikagharamia harusi mwenyewe, Ndoa ikafa baada ya miezi minne

Actually ukimsikliza kwenye hiyo interview mama yake naye hakuwa na historia nzuri, akaishia kwenye pombe za kupitia kiasi, mwishowe akapata pressure then kapata stroke kapooza upande, haongei. Huyo dada akawa anasema wazazi wetu walikuwa wakivumilia mengi na hawakuwa open Kwa therapy, Bora yeye alikuwa mrahisi kutafuta msaada ambao umemsaidia sana, na anapendekeza therapy.
Kwanza mwanamke kua mlevi wa inadisqualify Moja kwa Moja kufit nafas ya MKE wa TU.

Uyo mwanamke anatatiz la malezi, Mama ake amekua kwenye malezi ya hovyo, kamrithisha mwanae.

Ndo maana Kuna nyuzi kibao humu watu wanaponda kuoa binti kutoka familia zilizolelewa na single mother.

Wanawalisha Sana sumu watoto wao kuhusiana na maswaa ya ndoa na mahusiano.
 
Ni better mtu ukiwa na hasira unywe maji au utoke nje ukatembee mbali kuanza kurushiana maneno huharibu kabisa mambo. Hasira zikipungua ndio muongee
Unafaa sn kua mshaur sahii wa maswala ya ndoa.

Tukiongea wanaume tunaonekana tunawakandamiza na mfume dume,

Ila wanasahau kua nature Ndo imeselect iwe hivyo.
 
Nd
Hii stori imelalaia upande mmoja hii.

Kila Mara unalalamika vipigo, vipigo, mnyanyaso ila chanzo husemi.

Sitaki kuamini mume wako uyo anamashetani TU, anaamka anakupiga bila Sababu.

Mtoa mada Kuna kitu unatuficha

Hata mimi nlikuwa naoan ili huu uzi ubalanc lazma kuskiliza pande zote
 
Ka
Kabisa,
Mtoa mada anashindwa kutatua tatizo la msingi la mume wake (ukosefu wa kazi)

Anadili na minor issues (usaliti).

Na ukimsoma Vema mtoa mada,
Kuna mahali kasema alikua anamcheat mume wake, kisa na yeye alimkua akimcheat.

Kiuhalisia Hakuna utetezi wowote wa msingi unaoweza kusikilizwa kwa mwanamke ANAECHEPUKA eti kisa na mwanaume anachepuka.

Tusiishie kusema TU,
Mtoa mada Nguvu yake kiuchumi ilikua inampeleka vibaya, mpaka akaanza kufanya UMALAYA kwa kisingizio Cha revenge.
Kabxaa mkuu...ungeweza niitia kijana anajiita extrovert angepata japo moral lesson hapa maana kuna uzi kanikomalia sanaa kuhusiana na namna ya ku handle mwanamke mwenye uchumi uliozid ule wa mme wake
 
Ndo maana huwa nawasisitiza wanaume wenzangu tutafute sana Ela.

Heshima na UANAUME wako hautaletwa na SIX PACK, Wala bao sita kitandani.

Hiki kizazi Cha wanawake tulokua nao, sio kile tulichorithi kwa mababu na mabibi.

Heshima yako na UANAUME wako utalindwa na nguvu yako KIUCHUMI.

Kama uisjie kubali kuyumba KIUCHUMI eti kwasababu ya kuyalinda mahusiano na wanawake wa kizazi hiki.
Uzi ufungiwe hapa na kila anaesoma huu uzi hili liwe kama rejeleo
 
Mwanamke mwenye mdomo usio na breki kupigwa huwa ni swala la muda tu! Tena uwe na mdomo mbele ya mwanaume ambaye hana hela 😂 aisee unakitafuta kipondo cha haja!

Unaonesha ni wale wanawake wenye kejeli sana mdomoni mwao...kumzodoa mwanaume hadi anakosa kujiamini yani na kum compare na hao wa kazini kwako..This is the most evil thing that you shouldn’t do to your men ila wengi wenu huu mtihani huwa mnafeli vibaya sana.

Lugha ya staha huwa ni kitendawili kikuu kwenu hasa mkiwa na vijimishahara kila mwisho wa mwezi! Mpe support mtu ila usimsimange hata kidogo
Sasa huyu ni mfano mmoja tu wa wanawake walio wengiii.....yaan mwanamke akishajiweza kiuchumi dharau na mkomo pistol kama mtoa mada havikosiii...yaan kimbilio letu ni kutafuta pesa tu
 
Sasa huyu ni mfano mmoja tu wa wanawake walio wengiii.....yaan mwanamke akishajiweza kiuchumi dharau na mkomo pistol kama mtoa mada havikosiii...yaan kimbilio letu ni kutafuta pesa tu
Hahahahahahah hapo hamna namna, ni kukimbia msala au kutafta mawe tu😅
 
Hahahahahahah hapo hamna namna, ni kukimbia msala au kutafta mawe tu😅
Hahah!ila hata mwamba kakazaa sanaa...we shangaa mwanamke ni mtu wa kuficha sanaa tabia zake ila hapa kajitanabahisha kuwa mtaani alikuwa kapewa jina la mdomo pistol....imagn mwamba alikuwa anaishije na hicho kiumbe?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom