Niliibiwa naona...

hivi bikira ina faida gani kwa m/ume mpk uisubirie hivyo, kitu chenyewe unakitoa siku moja tu na ukiono tena, mie ki-ukweli kabisa sijawahi kukutana nayo hata ya kichina kila mtu nayekutana nae ni used na ilo wala halinipi kwikwi

Kawaulize Uarabuni hilo Swali utajibiwa vizuri sana na mifano tele.hahaha za kichina tena?
 
dah nilikutana na hyo kadhia juzi b4 xmas,kumbe bnt ana foleni ya wanaume,kila mkoa,mtoto wa 4rm 6 Huyo,
BKRA ALISHAONDOKA NAZO MWENYEWE MAMA YAKE YESU.

Bwana eeehhh tuache jamani, tamaa ilimuua fisi, eti natafuta bikira mimi..
 
Nilianza urafiki naye akiwa darasa la saba, akamaliza form four hakutaka kunipa kwa minajiri eti hataki mpaka amalize form six, nikavumilia kwa vile nilimpenda sana, nikaomba tena mchezo akiwa form six lakini akakataa madai yake yuko BIKIRA akianza atazoea hivyo kuathiri masomo yake nikamwamini na kumuacha asome, alipomalizza form six akabana tena, tukakorofishana kidogo eti mie nataka kumharibia maisha yake, baada ya kurudiana akanipa bila shida WAKUU kulia kushoto hamna UKUTA, nikamuuliza kwa ustaarabu tu BIBIE VIPI BIKIRA IMEENDA WAPI? Jibu lake eti tulipokorofishana alikutana na mkaka akambikiri...NILIISUBIRIA kwa hamu hiyo BIKIRA lakini sikuiona..

hahaha post yako imenichekesha
 
uyo mwanaume pia alishawai kumwambia ukweli that wakat unanizungusha nilikuwa napiga mademu awa joyce,halima,chausiku,mwamivta na kidawa?
au UKWELI UNALALIA KWA MKIKE TU ?


Jamani Rose mie niliiisubiri bikira tubikiriane wote, sasa kumbe ya mwenzangu tayari haipoo..
 
hahahaha pole mkuu hapo hamna kitu chapa lapa maana alie mfungua atakuwa anathaminiwa zaidi kuliko wewe. Mwachie tu huyo mkaka aliye mbikiri ww hapo ukioa tayari kitu used tafadhari tafuta mwingine nae umlee kama huyo.


Babu nilishika pembe acha, nikamnenepesha ngombe wazee siku ya mnada wakauza na kuchinja...duh inauma sana unajua
 
Hii ni kweli mkuu, aliyenayo(bikira) haoni thamani yake. yule aliye tolewa/ondolewa anatamani irudi ndio maana hupenda kujisingizia anayo. kiundani inakuwa ni screpa kama uliyokutananayo.:hungry: kula tu


Mkuu hata thanks hamna? hahaha, ukisikia mie bikira kimbia man, ila ukisikia sijui
 
Pole kwa kutamani bikira mbona hiyo imepitwa na wakati wenzio sikuhizi wantamani zilizolainika kwani wanaogopa kuwaumiza wanawake


Sikuitamani ila mate tu yalikuwa yananidondoka si unajua na mimi nilikuwa bikira la kiume, nilitaka TUBIKIRIANE tu
 
mwanamke wangu nilimbikiri mwenyewe...jamani, kubikiri kuna raha yake...yaani nakumbuka siku iyo...ile tu kupanua mapaja...alikuwa anatetemeka kuanzia vidole vya miguuni hadi nywele kwa hofu ya kuumia...hadi nilikuwa namuonea huruma...lakini nilijitahidi kwamba nitafanya kwa huruma.....ilibidi nitumie muda mwingi sana kwa nje tu nikiparuzaparuza...sijui alijisahau wapi, akapitiwa nafikiri akili ilikuwa imemruka...alikuja kustuka muhogo umefika katikati unaenda ukitafuta njia...nikastop hapohapo..nikamwuliza vipi? akasema maumivu yamechanganyikana na asali kwambaliii lakini maumivu yamezidi...nilifanya hivyohivyo tu alimradi njia ifunguke kwa siku hiyo...nilipofurahi kicheko kikubwa nikaondoka...ilipita kama siku tatu hivi, nikamrudia tena...kwasababu alikuwa ni mke wangu, yaani hakuwa hawara...siku zilizoendelea, alichonga mzinga...nakwambia yeye ndo akawa anaanza...ati alikuwa anakosa mengi...tatizo lake sana, hadi leo hii, ana wivu wa ajabu, anaogopa kuibiwa yaani wivu wa ajabu sijawahi kuona...jamani wanawake mabikira wana wivu anaweza kunywa sumu...uzuri wake, sote tumeokoka, hivyo sitegemei kutoka nje ya ndoa....KWA UFUPI, mwanamke uliyemuanza wewe mwenyewe, ni mwanamke atakaye kuheshimu kupita wanaume wote, na wewe utamheshimu na kumthamini...ila hao walioharibu bikira zao...kusema ukweli, wale mahawara waliompitia wanavyo vipande vya heshima...mwanaume hana heshima yote,,heshima zingine mwanamke anazipeleka kwa wale waliompitia..hakuna ubishi hapo..
 
Subira yako ndio ilokuponza ngoja ngoja umeonekana ZOBA. Kwahiyo we ni bikira tu ndo ulokua unaiwania mh, kweli wewe inaonekana ni mzee wa under ground, kaziako unakuza vipaji unasepa. Alikuweza kweli.


hala wewe Mamusia waja sasa, tak to bylo, najua unaelewa hiyoooo...bikira si unajua tena MAMUSIA? Wewe huko Uarabuni watu ahadi za 72 zinawatoa roho mimi je?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom