Niliibiwa naona...

cheeeeeeeeekaaaaa weeeeeeeee,mmmh na hizi bikira nazo.wasichana wengine wajanja.kama unampenda endelea nae,bikira sio issue,issue muelewane

Mwenye bikira jamani hasemagi maana wanaonaga aibu eti hajui mambo, utajistukia tu red carpet ndani ya kitanda ukimuuliza anajiumauma tu, akisema mapema anabikira mhhhhhhh kuna swali hapo na sababu zake
 
Aisee huo ni unyanyasaji ambao haustahili kuvumuliwa....
Wee Bana kama vipi mpeleke mahakamani, mimi nitajitolea kuwa wakili wako mpaka haki itendeke...
Haiwezekani muda wote huo ulikuwa unasubiri uje uambulie patupu...
Kwa kuzingatia haki za Binaadam huyo mdada ana kesi ya kujibu....

Dah! Nimesikitika kama nimetendwa mimi vile....:A S-alert1:

Mkuu nilinyong'onyea nilipoikuta haipo, hata kama kitu ingekuwa tight kidogo hapo ningesema uchakachuaji sio kwa sana lakini yaliyonikuta humo ndani, ni mzee tu anajua hakubisha wala nini, Kweli hii ni kesi ya kujibu jamani....
 
Vipi wewe, je nawe ulikuwa bikira? Au bikira ni upande mmoja tu!

Kama sikuwa nayo unadhani ingeniuma hivyo? Ustaadh umejuaje hayo mambo tena? Unajua mwenyewe umeahidiwa 72 bikiras ukifanya nini vile?
 
Vipi wewe, je nawe ulikuwa bikira? Au bikira ni upande mmoja tu!

Kinachoudhi ni mwanamke kusema yeye ni bikira wakati si kweli, nawashuri wasichana kuweni wakweli au kaeni kimya tu kuliko kujitapa, kwani ukisema huna bikira unafikiri hutapata mwnaume!
 
Kinachoudhi ni mwanamke kusema yeye ni bikira wakati si kweli, nawashuri wasichana kuweni wakweli au kaeni kimya tu kuliko kujitapa, kwani ukisema huna bikira unafikiri hutapata mwnaume!

Mkuu asante sana mzee, leo nimekupata au sio?sitakupoteza tena mzee wangu....hahahahaha
 
halafu wewe tabutupu, nimeshasema nilivumilia sana lkn aliponipa hata mie nilishangazwa sana bila hata husuda, yeye ndo alinichekechua maana mie nilidhamiria kusubiri hadi mwisho wake, alikuwa akipekechuliwa before huyo, hivi mwenye bikira huwa anasemaga? tena sidhani kama kuna msichana anapenda awe na bikira...

Nikweli hawasemi, lakini hawasemi kwa kuogopa kuchakachuliwa kwabni wanaume wanapenda sana bikira. Ya nini akwambie, si utajua siku ikifika??. Wewe ulipiosikia bikira umeuzwa si ulisikitika. ina maana ulikuwa unaivizia kwa udi na uvumbi???? tete te te.
 
Nilianza urafiki naye akiwa darasa la saba, akamaliza form four hakutaka kunipa kwa minajiri eti hataki mpaka amalize form six, nikavumilia kwa vile nilimpenda sana, nikaomba tena mchezo akiwa form six lakini akakataa madai yake yuko BIKIRA akianza atazoea hivyo kuathiri masomo yake nikamwamini na kumuacha asome, alipomalizza form six akabana tena, tukakorofishana kidogo eti mie nataka kumharibia maisha yake, baada ya kurudiana akanipa bila shida WAKUU kulia kushoto hamna UKUTA, nikamuuliza kwa ustaarabu tu BIBIE VIPI BIKIRA IMEENDA WAPI? Jibu lake eti tulipokorofishana alikutana na mkaka akambikiri...NILIISUBIRIA kwa hamu hiyo BIKIRA lakini sikuiona..
Chapa mwendo hapo hakuna kitu.
 
hivi bikira ina faida gani kwa m/ume mpk uisubirie hivyo, kitu chenyewe unakitoa siku moja tu na ukiono tena, mie ki-ukweli kabisa sijawahi kukutana nayo hata ya kichina kila mtu nayekutana nae ni used na ilo wala halinipi kwikwi
 
Mpige chini huyo mwanamke hana maaana hata kidogo, ni bora angekuambia ukweli longtime ukajua
 
hahahahahahahahahahahahahahahah duh
 
Sijasema nilikula nje mkuu, nilimwamini yeye tu ila tulipoachana akaona mwanya kunidanganya maana alikuwa kila siku akinambia yeye bikira...Ni maneno yake sasa ukali unatoka wapi?

dah nilikutana na hyo kadhia juzi b4 xmas,kumbe bnt ana foleni ya wanaume,kila mkoa,mtoto wa 4rm 6 Huyo,
BKRA ALISHAONDOKA NAZO MWENYEWE MAMA YAKE YESU.
 
Mpige chini huyo mwanamke hana maaana hata kidogo, ni bora angekuambia ukweli longtime ukajua

uyo mwanaume pia alishawai kumwambia ukweli that wakat unanizungusha nilikuwa napiga mademu awa joyce,halima,chausiku,mwamivta na kidawa?
au UKWELI UNALALIA KWA MKIKE TU ?
 
Rosey hebi nrushie namba za St. Roya.

Ana kesi flani hivi ya kujibu.
atakuchek
nishamwambia alikuwa jikon uko anaosha masufuria na kufua nep mi nilikuwa seblen nasugua kucha..akimaliza kuosha vyombo na kufua nep za mtoto na kuanika NGUO zangu...kabla kuanza kuchambua matembele...
 
Hahaha...kwa hiyo unamuibia akiwa anaona?

Haya yalete huku.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom