Ryoba Warioba
Senior Member
- Sep 1, 2013
- 199
- 170
Una moyo wa kipekee sana, usijiexpose kwake wa sasa, time will tell,
Mkuu nimejaribu kumdodosa juu ya hili tukio reaction yake sio kubwa kivile iko normal ila nahofia tu asije akanichukia mimesoma comments za wadau wamesema nimuache akue zaidi ila pia wanaosema nisije nikatembea nae niwatoe shaka kuwa huyu ni kama binti yangu siwezi kufanya ivo kabisaRaection yake ikoje akikumbuka tukio hilo na kuhusu aliyemgonga
Mwenyezi Mungu akubariki kila la kheriMkuu nimejaribu kumdodosa juu ya hili tukio reaction yake sio kubwa kivile iko normal ila nahofia tu asije akanichukia mimesoma comments za wadau wamesema nimuache akue zaidi ila pia wanaosema nisije nikatembea nae niwatoe shaka kuwa huyu ni kama binti yangu siwezi kufanya ivo kabisa
Safi sana ubarikiwe mno..Wakuu kwema jamvini siku moja mida ya usiku nikiwa katika speed kali Niligonga binti wa miaka 15 Sikusimama kutokana na eneo kuwa na watu nilivuta gari ila mwisho roho iliniuma sana ivo kupelekea kuahirisha safari baada ya umbali na nikachukua Guest na kulala kesho ndo nkapata nguvu ya kuendelea na safari baada ya wiki moja baada ya kukosa amani ya moyo niliamua kurudi eneo la tukio wakati huu nilitumia public transport Bus nilifika mpaka apo na kushuka nilianza kufanya follow up na hatimae nikampata mhanga niliemjeruhi nilimkuta kavunjika mkono na majeraha madogo madogo bila kujitambulisha nilianza kutoa support japo binti huyo alikuwa tayari alishapewa huduma ya hospital kufupisha story ni mwaka sasa umepita binti niliamua kumsomesha boarding likizo anaenda kwao au aje kwangu mana nimekua baba yake kabisa.. Natamani kumsimulia mkasa mzima ila najiuliza je anaweza kunichukia na kuwa na hasira na mimi naombeni ushauri kwa sasa yupo secondary.
Ila mimi ***** kuna mmoja alijipendekeza jioni jioni akadhani nitaweka mguu kati nakumbuka nilisikia tuu tyre kama nimepanda kijiwe fulani nimeenda kama kilometa 15 mbele nikaweka gari pembeni kucheki nakuta tyre la nyuma kushoto kuna urojo mweupe na nyekundu kama ile mboga nyanya uchanganye mayai niaakanza tena kuosha na kijiti mle kwenye michorongo ya tyre
Mkuu mbona kama naiona imekaa tofauti kidogo.Subiria akue kabisa
Ndo utamsimulia kila kitu
Ila wewe ni miongoni mwa binadamu wachache tuliobaki duniani
Kudos kiongozi
Mkuu haya yote yaliwezekana kwa vile familia yao haikuwa na uwezo kipesa kiivoo nilitaka kusimulia mkasa mzima ila tu niliona ntachosha watu ndio maana nkafocus na pointMkuu mbona kama naiona imekaa tofauti kidogo.
1. Ulianzaje kutoa msaada, wazazi wake walikuwa hawana uwezo?
2. Msaada wake ulifanya wazazi waruhusu binti yao aende kwake likizo (walimuamini vipi)
3. Binti wa miaka 15 kuwa alienda kwake kwa kofia ya baba mdogo au baba mkubwa au rafiki wa baba??
Ushauri wangu!!
Kwakuwa binti ameshamuona kama Baba, haina haja ya kumwambia ulichomfanyia sababu, kukimbia kwake na kukaa wiki bila kuja kumjulia hali tayar kinatafsiri ya ubaya hivyo anaweza amsha chuki na kuvunja undugu wao!
Ni kwel usemacho mkuu hata mimi niliwahi kushuhudia kwa kijana mmoja alikua ni msanii wa muziki mtaani kwetu lakini hakua na pesa za kulipia studio ili akarekodi nyimbo zakeMuache kwanza kwa sasa. Endelea kumhudumia na baraka ziendelee kuambatana na wewe daima. Hilo tukio lililenga kufungua mlango mwingine wa maisha.
Sio kila jambo baya linalotupata kwenye maisha linamwisho mbaya, mengine yanatuvusha hatua moja kwenda nyingine.
Yuko darasa la ngapiWakuu binti yangu hajambo kesho nampeleka shule nilisikiliza ushauri wa watu ikiwemo Baba Swalehe ivo sijamuambia lolote