Niligonga mtu na Gari Usiku Je nimueleze huu Mkasa?

Roadmap

JF-Expert Member
Aug 19, 2013
2,898
5,796
Wakuu kwema jamvini siku moja mida ya usiku nikiwa katika speed kali Niligonga binti wa miaka 15 Sikusimama kutokana na eneo kuwa na watu nilivuta gari ila mwisho roho iliniuma sana ivo kupelekea kuahirisha safari baada ya umbali na nikachukua Guest na kulala kesho ndo nkapata nguvu ya kuendelea na safari baada ya wiki moja baada ya kukosa amani ya moyo niliamua kurudi eneo la tukio wakati huu nilitumia public transport Bus nilifika mpaka apo na kushuka nilianza kufanya follow up na hatimae nikampata mhanga niliemjeruhi nilimkuta kavunjika mkono na majeraha madogo madogo bila kujitambulisha nilianza kutoa support japo binti huyo alikuwa tayari alishapewa huduma ya hospital kufupisha story ni mwaka sasa umepita binti niliamua kumsomesha boarding likizo anaenda kwao au aje kwangu mana nimekua baba yake kabisa.. Natamani kumsimulia mkasa mzima ila najiuliza je anaweza kunichukia na kuwa na hasira na mimi naombeni ushauri kwa sasa yupo secondary.
 
Subiria akue kabisa

Ndo utamsimulia kila kitu

Ila wewe ni miongoni mwa binadamu wachache tuliobaki duniani

Ingawa mimi
Leo nimeenda kuchangia damu hospitalini,mara wananambia soda na biskuti zimeisha..!
Sa hii nipo zangu njiani na damu yangu kwenye blood bag naelekea nyumbani. Bora niwapelekee mbu take away..
😆😆😆😆

Kudos kiongozi endelea na moyo huo huo

Bro angu Bujibuji njoo umuone binadamu mwenzetu
 
Wakuu kwema jamvini siku moja mida ya usiku nikiwa katika speed kali Niligonga binti wa miaka 15 Sikusimama kutokana na eneo kuwa na watu nilivuta gari ila mwisho roho iliniuma sana ivo kupelekea kuahirisha safari baada ya umbali na nikachukua Guest na kulala kesho ndo nkapata nguvu ya kuendelea na safari baada ya wiki moja baada ya kukosa amani ya moyo niliamua kurudi eneo la tukio wakati huu nilitumia public transport Bus nilifika mpaka apo na kushuka nilianza kufanya follow up na hatimae nikampata mhanga niliemjeruhi nilimkuta kavunjika mkono na majeraha madogo madogo bila kujitambulisha nilianza kutoa support japo binti huyo alikuwa tayari alishapewa huduma ya hospital kufupisha story ni mwaka sasa umepita binti niliamua kumsomesha boarding likizo anaenda kwao au aje kwangu mana nimekua baba yake kabisa.. Natamani kumsimulia mkasa mzima ila najiuliza je anaweza kunichukia na kuwa na hasira na mimi naombeni ushauri kwa sasa yupo secondary.
Ila umetisha san boss tena sana
 
Mkuu naamini siri ni mateso na mateso ni siri pia...hebu vuta subira na uvumilivu kwa usiri na ujasiri mkubwa amalize secondary...aende chuo na apate ajira then tenga siku ukae nae umpe A to Z mpk hapo alipofika...
Naamini atajawa na roho zuri LA shukrani kuliko hivi sasa
 
Muache kwanza kwa sasa. Endelea kumhudumia na baraka ziendelee kuambatana na wewe daima. Hilo tukio lililenga kufungua mlango mwingine wa maisha.

Sio kila jambo baya linalotupata kwenye maisha linamwisho mbaya, mengine yanatuvusha hatua moja kwenda nyingine.
 
Mkuu naamini siri ni mateso na mateso ni siri pia...hebu vuta subira na uvumilivu kwa usiri na ujasiri mkubwa amalize secondary...aende chuo na apate ajira then tenga siku ukae nae umpe A to Z mpk hapo alipofika...
Naamini atajawa na roho zuri LA shukrani kuliko hivi sasa
Wakati sahihi wa kumuambia ni sasa, kesho haitabiliki. Lolote linaweA kumkuta mleta mada na akataondoka duniani pasipo kumuelezea binti yule ukweli.
 
Wakuu kwema jamvini siku moja mida ya usiku nikiwa katika speed kali Niligonga binti wa miaka 15 Sikusimama kutokana na eneo kuwa na watu nilivuta gari ila mwisho roho iliniuma sana ivo kupelekea kuahirisha safari baada ya umbali na nikachukua Guest na kulala kesho ndo nkapata nguvu ya kuendelea na safari baada ya wiki moja baada ya kukosa amani ya moyo niliamua kurudi eneo la tukio wakati huu nilitumia public transport Bus nilifika mpaka apo na kushuka nilianza kufanya follow up na hatimae nikampata mhanga niliemjeruhi nilimkuta kavunjika mkono na majeraha madogo madogo bila kujitambulisha nilianza kutoa support japo binti huyo alikuwa tayari alishapewa huduma ya hospital kufupisha story ni mwaka sasa umepita binti niliamua kumsomesha boarding likizo anaenda kwao au aje kwangu mana nimekua baba yake kabisa.. Natamani kumsimulia mkasa mzima ila najiuliza je anaweza kunichukia na kuwa na hasira na mimi naombeni ushauri kwa sasa yupo secondary.
Raection yake ikoje akikumbuka tukio hilo na kuhusu aliyemgonga
 
Hongera mkuu kwa kuwa na moyo mdogo maana kuna watu wana mioyo mikubwa wala asingerudi

kuna mzee mwez wa kwanza tulimuokota asubuh akiwa amegongwa gari usiku na kufa pale pale na hakuna aliyeliona gari
 
Endelea kumuhudumia tu Mkuu ila usimwambie. Kama dhamira yako inakupa msukumo mkubwa wa kumwambia basi fanya hivyo ila tegemea pia negative reaction ukiamua kumwambia.

Wakuu kwema jamvini siku moja mida ya usiku nikiwa katika speed kali Niligonga binti wa miaka 15 Sikusimama kutokana na eneo kuwa na watu nilivuta gari ila mwisho roho iliniuma sana ivo kupelekea kuahirisha safari baada ya umbali na nikachukua Guest na kulala kesho ndo nkapata nguvu ya kuendelea na safari baada ya wiki moja baada ya kukosa amani ya moyo niliamua kurudi eneo la tukio wakati huu nilitumia public transport Bus nilifika mpaka apo na kushuka nilianza kufanya follow up na hatimae nikampata mhanga niliemjeruhi nilimkuta kavunjika mkono na majeraha madogo madogo bila kujitambulisha nilianza kutoa support japo binti huyo alikuwa tayari alishapewa huduma ya hospital kufupisha story ni mwaka sasa umepita binti niliamua kumsomesha boarding likizo anaenda kwao au aje kwangu mana nimekua baba yake kabisa.. Natamani kumsimulia mkasa mzima ila najiuliza je anaweza kunichukia na kuwa na hasira na mimi naombeni ushauri kwa sasa yupo secondary.
 
Wakati sahihi wa kumuambia ni sasa, kesho haitabiliki. Lolote linaweA kumkuta mleta mada na akataondoka duniani pasipo kumuelezea binti yule ukweli.
Kweli lakini hakuna ajuaye kesho...
Lakini kisaikolojia huenda ikampa roho ya majuto...kisirani na hata kususia huduma njema za bwana kaka, watoto wakike in tofauti na wakiume arifu....hivyo huenda ikamzidishia stress zaidi dereva mwenzetu
 
Back
Top Bottom