feitty
JF-Expert Member
- Jul 10, 2015
- 2,595
- 4,205
Hapo hujajumlisha hukumu ya kuua wenzio na dhambi nyingine.Damu ya mtu kila baada ya miezi miwili si atamaliza ukoo wote?? Bado utakufa vile vile...yani upate utajiri kwa mateso uishi nao kwa matezo still ufe kwa mateso pia... Waiiii
Bora kuwa masikini.