Swali lako ni zuriunafanya kazi jf?
Makubwa haya!Hata mm nilipatwa na butwaa sana ila Seran akaniambia ni tatizo la muda tu ndio nikatuliza wenge😂😂😂( natania bhana)
Alijua Jf imefanyiwa vayolensi tena
KWANI UNATUMIA KISWASWADU KMA MMMmh Hadi kwenye operamin ya kiswaswadu ilikua imekataa mi nikajua tayari washafanya yao
Kwani kuingia humu hadi uwe na vpn sasa hiv?Ilikuwa taharuki kubwa! Loh! Imefungiwa tena!
Kumbe was maintenance as notified by JF admin.
Naona imerudi tena..Asante JF Maxence Melo
Hivi kiswaswadu kinaweza kuingia pm?KWANI UNATUMIA KISWASWADU KMA MM
Hapa naona tu alama za jumbe pm ila kufungua ndo kipengeleHivi kiswaswadu kinaweza kuingia pm?
mbona mie,,, natumia hata hizo alama hata sizioni.Hapa naona tu alama za jumbe pm ila kufungua ndo kipengele
Hahahahahaha.Me mpaka nimepiga simu makao makuu nilipojibiwa roho ndo imetulia