The Initiator huru
JF-Expert Member
- Dec 4, 2017
- 2,332
- 3,230
acha kudanganya watu ni ww, kweli ww ni popomaKuna jamaa angu tunafanya nae kazi sasa jana kaja ana simu ndogo mpyaa nikamuuliza vipi Ndugu simu yako ile smart ipo wapi?? Jamaa akasema demu wangu alikuta msg za mademu wengine akaivunja kisha kaitumbukiza kwenye maji...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] Aisee nilishangaa sanaa How yani??? How??? Afu jamaa hadi leo hajamwambia chochote kuhusu ile simu wanachat tu kawaidaa[emoji23]
Wadada Punguzeni visiraniii..!
Kwa kweli. Mimi mtu hawezi kunifanyia hivi akabaki salamasorry
ila Huyo jamaa ako mseng3
Hongera,
Unaonekana ni mtu mwenye uthubutu.
Utakua na Experience na mengi, nyie ndio kwenye ndoa huwa mnatulia kabisa na mnajua kuchagua mume.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aiseeeHaahahahhaha huyo dada ana hasira kama zangu...... Niliwahi kukuta meseji kama hivyo kipindi simu yake x wangu ina week mbili tu toka anunue niliishika nikabamiza chini vunja vunja mpaka nilihakikisha haitengenezeki..... Kilichofuata ni kipigo cha mbwa koko nusu nife sirudii tena mimi kushika simu ya mtu na kuvunja Ile siku angeniua dah nilibadilika rangi mwili wote nikawa mwekunduuu jamani wadada tusifanye hii michezo ya kuvunjiana simu
Pole ila huyo jamaa alikua kiboko simu tu anataka kuua mtu,Haahahahhaha huyo dada ana hasira kama zangu...... Niliwahi kukuta meseji kama hivyo kipindi simu yake x wangu ina week mbili tu toka anunue niliishika nikabamiza chini vunja vunja mpaka nilihakikisha haitengenezeki..... Kilichofuata ni kipigo cha mbwa koko nusu nife sirudii tena mimi kushika simu ya mtu na kuvunja Ile siku angeniua dah nilibadilika rangi mwili wote nikawa mwekunduuu jamani wadada tusifanye hii michezo ya kuvunjiana simu
Naona kichapo kilikunyoosha aswaNilikuwa na hasira na huwa sijali nikikasirika.... Alinipiga vibaya mnooo nakwambia nusu nife.... Ilifikia stage alinibana nikashindwa kupumua sijui nilipata wapi nguvu ya kusema "unaniuwaaa" akaniachia
Umenikumbusha bwana mmoja Sinza,mwanae wa kike alitiwa mimba na mhuni tu mcheza viduku,muhhuni akajifanya kukimbia,jamaa akamtafuta kimyakimya akapamta,alimpiga risasi akamvunja mkono.Stories za vijana wa kileo hizo. Sasa, akikuvunjia simu uwe makini. Usijidai kumpiga halafu ukakutana na baba yake ndiye mimi. Sijui itakuwaje! Sipendi kukutisha ila ni vema mtunze zipu zenu kwa uzuri ili muoe kihalali.
Alimpa adhabu kali sana. Mimi ningempiga risasi ya kichwa tu ili asivunjike mkono. Simple!Umenikumbusha bwana mmoja Sinza,mwanae wa kike alitiwa mimba na mhuni tu mcheza viduku,muhhuni akajifanya kukimbia,jamaa akamtafuta kimyakimya akapamta,alimpiga risasi akamvunja mkono.
Hii inadhihilisha wanaume tunapungua kwa kasi ya ajabusorry
ila Huyo jamaa ako mseng3
Ukiacha ubaharia kuna watu wamezaliwa ni knuckle heads. Ukileta puruzai unafanyiwa utani wa kukuharibia maisha. Unakunwa kwa ncha ya mkuki.Zee lenyewe baharia la zamani alafu umtie mimba mwanae ukimnie kirahisi rahisi tu!!
Kuchunguza cm ya mwenza ni ushamba! Coz u have urs.Kuna jamaa angu tunafanya nae kazi sasa jana kaja ana simu ndogo mpyaa nikamuuliza vipi Ndugu simu yako ile smart ipo wapi?? Jamaa akasema demu wangu alikuta msg za mademu wengine akaivunja kisha kaitumbukiza kwenye maji...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] Aisee nilishangaa sanaa How yani??? How??? Afu jamaa hadi leo hajamwambia chochote kuhusu ile simu wanachat tu kawaidaa[emoji23]
Wadada Punguzeni visiraniii..!