Nilichoona na kujifunza Mjini MOSHI

money isn't everything...character is everything
 
Sehemu za kula noah kuna kwa lyimo msaranga,toroka uje kiboriloni,ma hot poa katibu na nmb mandela,ushirika wa neema karibu na chuo kikuu cha mwenge,kwa clara iko dar street

Hahaaa,, mkuu umesahau Masikio Bar njia panda segera kuelekea KCMC
 
Nakisia baba mkwe kazi yake kumpooza mkwe wake,pindi anapomkumbuka mme wake,
Eti mangi!

Yeah....ni kweli mkuu.Ukirudi kwenu naomba uniletee nyama ya punda na housegirl..!
 
kumbusha mm river nile pale,liko sebene moja jeupe kama noah, linapatkan pale daily,anaelijua jina tukumbushane,nshalipada lile siku moja niliodhuru moshi mjini.
 
Yeah....ni kweli mkuu.Ukirudi kwenu naomba uniletee nyama ya punda na housegirl..!

Nyama ya punda ni poa kuliko kitimoto ya kiborloni mangi,siku hakuna ma housegirl;kuna sekondari kila kata.
Unaonekana unahasira babako kamjaza mkeo mimba?
 
bado hujatembea wanawake wa hivo si moshi tu Arusha wapo kibao wanaofanya hizo biashara na hata Mwanza wapo wengi tu (na walio wengi si wachaga)
 
Nyama ya punda ni poa kuliko kitimoto ya kiborloni mangi,siku hakuna ma housegirl;kuna sekondari kila kata.
Unaonekana unahasira babako kamjaza mkeo mimba?

Kila kata?? Hahahaaaaa....labda sio Singida nnayoifahamu....Kamjaza mimba ni kweli bhana..LMAO!!
 
kumbusha mm river nile pale,liko sebene moja jeupe kama noah, linapatkan pale daily,anaelijua jina tukumbushane,nshalipada lile siku moja niliodhuru moshi mjini.

wewe jamaa unamzungumzia lile linalovaaa vikuku miguuni?
 
haahaha najua ulitaka uwakute la liga au malindi wale wanasaka ela kokote iliko yaan hata kama darini,Nyanya mbichi ni matumaini yangu wewe sio bazazi nikutume ukutane na mdogo wangu? au ushaondoka uko

masai dada haaaaa haaaaaa ni nimeshaondoka i hope nitarudi tena siku moja panapo majaliwa ,kweli dada mimi sio bazaz
 
Last edited by a moderator:

kweli Rweye kutembea moja ya sehemu ya kujifunza
 
Last edited by a moderator:
bado hujatembea wanawake wa hivo si moshi tu Arusha wapo kibao wanaofanya hizo biashara na hata Mwanza wapo wengi tu (na walio wengi si wachaga)

Arusha nimeona ila wanauza vyakula sana kama hapa Dar wanawake wengi wamauza matunda,ingawa kunavwanawake wachache nawaona hasa mitaa ya Anatougro pale na k'koo wanauza mashati na suruali za kiume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…