Nyanya mbichi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2011
- 3,716
- 2,220
Wababa wengi wapo mikoani wanatafuta hela wake zao ndio wapo Moshi wakitunzwa na Wakwe.
Ndio maana uliwaona wanawake wengi wakisaka noti.
Waume zao wanakuja Krismasi kwa Krismasi na matumizi ya mwaka mzima.
haahaha najua ulitaka uwakute la liga au malindi wale wanasaka ela kokote iliko yaan hata kama darini,Nyanya mbichi ni matumaini yangu wewe sio bazazi nikutume ukutane na mdogo wangu? au ushaondoka uko
Nitume mm jamani dada....
Duhh,, ucsahau kupitia na hapo Toroka uje mitaa ya kiboriloni
ki2 cha kitimoto uwiiii leka tiki mangi!
hahahahah mpaka unangangania???sikuamini
We utakuwa mkonongo....