Hivi chadema wana ofisi au jamii forums ndio ofisi yao?
sela za cdm ndo mbovu watu wamestuka. Sela za ubaguz na umimi haziwezi kunusuru chama. Wajipange kisela tu
Well said brother.. tatizo viongozi wa CHADEMA hawapendi kukosolewa. ukiwakosoa tu,unaonekana mpinzani. Kumbe wakati mwingine mtu unakuwa na nia nzuri tu.
We undertaker unaelewa hata muelekeo wa kimaisha duniani wewe, siku hizi watu wanafanyika shughuri majumbani kwao mtabakia nyie ambao ni lazima mwende kiwandani kupakia mizigo ndo mnaona umuhimu wa ofisi.
Mi nakuona kama mpuuzi tu, unajitekenya na kucheka mwenyewe, hilo daftari anaboresha Dr Slaa, hivi kwa akili yako ndogo unahisi ccm imeshinda uchaguzi, unafikilia kwa kutumia makalio au, pole sana, huu mziki huuwezi , tuachie wenyewe, mnafiki tu wewe, unajifanya unaongea point kumbe una lako jambo.
Cdm acheni ukabila udini ukanda udhaifu huo ndio unaowacost wenzenu wanautumia na wananchi wanapima na kuona ni kweli.watu sio wajinga wanaona kwa macho yao .acheni siasa za kishenzi za kumchafua zitto,uchafu utawarudia wenyewe
Daftari likiboreshwa wataingia kwenye daftari Chadema peke yao?
Au unamaanisha wana Chadema huwa hawapigi kura?
CHADEMA ina support kubwa sana kutoka kwa vijana kati ya miaka 18-26 ambalo ndilo kundi kubwa. Angalia idadi na umri wa watu wanaohudhuria mikutano ya CHADEMA. Asilimia kubwa ya vijana hao hawamo kwenye daftari la wapiga kura.
Mkuu endelea kumshauri babu madudu na utegemee pengine atakukubalia.
Akikubali imekula kwake anyway.
Swali la kujiuliza kwako, kama una akili ya kuchambua maswala, ni kwamba, kama CHADEMA wamekuwa popular na chopa kutengeneza inroads kwa uanachama watu waliokuwa CCM, Walioandikisha hiyo 2009 wako wapi?
Msijipe sababu ambazo na nyie wenyewe mnajua hazina mashiko.
Chances are hata daftari likiboreshwa kesho, wananchi wengi zaidi watachagua CCM, maana zaidi ya kulalama na polisi na maandamano, CDM haina mchango wowote kimawazo jinsi ya kuliendeleza ztaifa hili.
Msifikiri wTanzania ni wajinga, they know where their hearts lie.
Na kama ni wewe ulimshauri juu ya kukodi chopa tatu, matokeo yake mmeshayaona.
JF inatumiwa na vyama vyote kuuelezea ushabiki wao.Hivi chadema wana ofisi au jamii forums ndio ofisi yao?
Hivi hapo nyumbani kwako una sebule au sebuleni kwako ni humu JF? Maana nakuona humu kila nikipatembelea!!Hivi chadema wana ofisi au jamii forums ndio ofisi yao?
Hivi chadema wana ofisi au jamii forums ndio ofisi yao?
Ni kweli. Tuanafahamu kuwa kwa daftari hili twaweza kabisa tusishinde Kalenga na Chalinze, kwa kuwa hatuelewi kuwa kwa nini turn out siku ya uchaguzi inakuwa ndogo kivile na tuna uhakika kuwa Wapenzi na wanachama wengi wa CDM wasmepatikana baada ya uchaguzi wa 2010 kwa Kampeni za Uraisi zilizoongozwa na Dr. Slaa. Hata hivyo ni budi kushiriki kampeni zile kwa nguvu zote kwa kuwa kufanya vile tunaongeza elimu ya uraia kwa wananchi wa maeneo husika, na kuongeza wanachama na wapenzi watakaotufaa baada ya daftari kuboreshwa. Tukumbuke kuwa mwaka huu kuna uchaguzi wa serikali za mitaa na hatupaswi kukubali uchaguzi huo ufanyike bila ya daftari kuboreshwa!TUANZE KUSAHIHISHA ULIPOMALIZIA , CHOPA HAZIKULETWA KWA AJILI YA UCHAGUZI WA KATA , futa hilo ANDIKO LAKO , LA PILI NI KWAMBA ZAIDI YA VIJANA MIL 5 UNUSU WANASUBIRI KUANDIKISHWA , NA UKUMBUKE KUWA NI KIJANA M. W. E . HU PEKEE AU LABDA MTOTO WA KIONGOZI AMBAYE INAFAHAMIKA ANACHOPIGANIA , NDIYO ANAWEZA KUCHAGUA CCM .