Ziroseventytwo
Platinum Member
- Mar 27, 2011
- 9,160
- 17,060
Nakumbuka kuna siku, muda kidogo umepita. Nilienda kwenye hizi saloon wanazoziita berber shop kutengeneza ndevu na kunyoa. Basi baada ya kunyolewa nikaingizwa kwenye kijichumba nikamkuta mdada, binti kabisa mdogo mkali. Akaja kunifanyia scrub.
Kwa umri wangu na yeye niilona kabisa hii dunia ina majaribu makubwa sana. Akanifanyia scrub huku ananishika masikio, nyuma huku shingoni ili mradi tu aamshe hisia zangu. Alipomaliza nikamlipa kisha nikampa simu yangu nikamwambia aweke namba yake, akaweka. Nikaondoka.
Ikapita kama miezi mi4 hivi simkumbuki. Sasa kuna siku nilikuwa nimekaa peke'ngu nagonga kinywaji. Katika kucheck simu nikaiona ile namba yake. Nikamcheck, akapokea akawa hanikumbuki. Ila nikamwambia alinifanyia scrub na yeye nso alinipa ile namba. Nikamwambia lama yupo free aje. Akaniambia anakuja. Dk 20 hazikupita akaingia na bodaboda, nikalipa jamaa akasepa.
Kwa jinsi alivyokuja kavaa, akanikata wenge. Tukakaa tunakunywa. Muda unaenda alitegemea nikagonge kumbe mimi nishaghairi. Akanywa kama bia 4 hivi. Akaniuliza kwa kiingereza chake kibovu. How about to rest. Nikamwambia leo hapana. Sasa itakuwaje uoni kama umenipotezea muda? Akawa analalamika. Muda gani tena mama na tumepiga story na pombe tumekunywa? Nikamjibu.
Nikampa 15k nikalipa na boda akasepa. Alipoondoka acha anivurumishie matusi. Sikumjibu.
Wakati mwingine kuushinda moyo nako ni ushujaa.