Nilichomfanyia dada wa masaji hatosahau

Na huo ndio uanaume,,,

Mwanaume ni kuwa na msimamo na jambo na kulishikilia bila kuyumbishwa,,, kwa hili mkuu nikupe pongezi...

Ila swala la kuchakata papuchi linahitaji msimamo zaidi... Hongera..
 
Kumbe wagumu bado wapo! Safi sana.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahah amna hata mzinzi ila kawaida antena ikisimama tunatarajia ikamate stesheni ya jirani [emoji28][emoji28][emoji28]! Kitu Fm Stereo sasa cha ajabu antenna imegoma kukamata stesheni kwa makusudi kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] in my whole life, sikuwahi kujua wanaume wanapendaga hivi kufanya tabia mbaya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119] yaan nimejulia uzeeni mwaka huu...
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] in my whole life, sikuwahi kujua wanaume wanapendaga hivi kufanya tabia mbaya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119] yaan nimejulia uzeeni mwaka huu...
Hahahah ndio ujue na uache choyo 😅😅😅 sio kalenda nyingi wacheni mabaharia nao waishi! Mtu kama anaomba tiket ya peponi bana!
 
Hongera sana, kama si mwenyeji wa hizi mambo lazima tu shetani akupe company, ila kama umezoea ni kawaida sana. Sio lazima safari moja ianzishe nyingine
 

Mpwa ulikataa "Happy ending"?? Hongera sana, ukisikia " hepi ending" sio kutekenywa ni "happy ending" haswa!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…