Nilichokuta kwenye pochi ya mchumba wangu

Rudi usingizini kwanza... Bado una hang over...
 
Habari za wikiendi

leo nipo tu nyumbani baada ya jana ijumaa kunywa bia za kutosha. sasa shemeji yenu(sina uhakika sana) alikuwa anafanya fanya usafi mimi huku nikiwa nimelala. baada ya kuandaliwa subu nikarudi kitandani ujilaza na yeye akaaga anaenda sokoni.

Naamka tena saa tano asubuhi baada ya kubanwa mkojo. narudi ndani nakuta pochi yake ambayo sijaizoea(pochi mpya). sasa akili zikanituma nifungue ndani. lahaula aisehhhh......si nikakutana na kiburungutu cha US DOLLAR. naona noti za dola moja na dola kumi. nimeshangaa kazipata wapi maana yeye mwanasheria wa kujitegemea na dollah wapi na wapi. nawaza niibe zote maana hajawahi kunipa ata nauli tu ya kwenda kazini. chakula nanunua mimi, kodi mimi, maji mimi yeye hana hela mwaka mzima.

nifanyeje hapa niziibe zote alafu nisingizie kibaka aliingia nikiwa nimelala maana ata nikimuomba hela hatanipa kabisa. na akikupa ataulizia chenchi

ushauri jamani
kwaini iba tu mkuu kumbuka.................uclie siku ikifika kwako
 
nawewe kwenye pochi za wadada unatafuta nini khaaa wanaume wengine
 
Uziibe unajua alipozitoa mkuu? Hela ya mwanamke si yakupangia mahesabu na kukupa si lazma.
 
Hivi kumbe wenzangu na mie hatupaswi kushika dollar!!
 
Habari za wikiendi

leo nipo tu nyumbani baada ya jana ijumaa kunywa bia za kutosha. sasa shemeji yenu(sina uhakika sana) alikuwa anafanya fanya usafi mimi huku nikiwa nimelala. baada ya kuandaliwa subu nikarudi kitandani ujilaza na yeye akaaga anaenda sokoni.

Naamka tena saa tano asubuhi baada ya kubanwa mkojo. narudi ndani nakuta pochi yake ambayo sijaizoea(pochi mpya). sasa akili zikanituma nifungue ndani. lahaula aisehhhh......si nikakutana na kiburungutu cha US DOLLAR. naona noti za dola moja na dola kumi. nimeshangaa kazipata wapi maana yeye mwanasheria wa kujitegemea na dollah wapi na wapi. nawaza niibe zote maana hajawahi kunipa ata nauli tu ya kwenda kazini. chakula nanunua mimi, kodi mimi, maji mimi yeye hana hela mwaka mzima.

nifanyeje hapa niziibe zote alafu nisingizie kibaka aliingia nikiwa nimelala maana ata nikimuomba hela hatanipa kabisa. na akikupa ataulizia chenchi

ushauri jamani
ungekuta kiburungutu cha TZS NOTES ungeomba ushauri?
 
Unaeza ukaiba asikuulize ila akajua kabisa ana mchumba mwizi
 
Sasa na wewe huo mchezo wa kushika vitu vya watu ukome
 
Ushasema mwanasheria naona jela inakuhusu
 
Hicho kikojoleo alicho nacho kinamuingizia zaid ya hzo dollars
 
Back
Top Bottom