Pole sana. Ila jua kuwa ni kosa kwa mwanamke kumchunguza sana mme, na vilevile mwanaume kuchunguza sana Mke. Kawaida, kila kitu hukinai. Mme kabla hamjaoana, anakuona kitu cha thamani sana. baada ya kuoana na kuzoeana, unakuwa mtu wa kawaida. hivyo anatamani kuona kitu kipya. Kwa heshima mme atajitahidi usione mwenendo wake. kuchunguza sana, ni kutaka kugundua mambo ambayo ukiisha yaona yatakuumiza. Umejitahidi kuchunguza, na umefanikiwa umegundua. sasa faida yake ni nini????? Je! kama usingechunguza, hayo yangekuumiza??????? Jitahidini wanawake muache kuchunguza waume zenu, na wanaume muache kuchunguza wake zenu. Katika mambo magumu duniani, OGOPA KUFUMANIA. MUNGU APISHE MBALI, USIJE UKAONA MTU WAKO YUKO NA MWINGINE. ACHA KUMCHUNGUZA MWENZAKO ILI USIFUMANIE, NA HAPO UTAISHI KWA AMANI SIKU ZOTE ZA MAISHA YAKO!!!!!!