KK III tuna mtoto mmoja,kwani siwezi kuepusha msongmano hata kama tuna mtoto?
hii dhana imepitwa na wakatikabisa jiulize hivi mama amefriki akijifungua mtoto akabaki salama au mzazi mmja amefariki au hamjui baba je maisha hayataendelea?ameoa mke mwingine umebaki na watoto amekunyanyasa umekimbia na wanao eithe of them sometiome s naamini kuwa maisha yanapangwa na mungu pekee wazazi niwakutulea kimwili zaidi ila roho zetu mungu anamiliki sionagi sababu yakung'anganiza eti watoto kulelewa na wazazi wote wawili ni muhimu si sahihi kuna kesi nyingi zinaamuliwa humu na GTHINKERS wanakuwa wanamshauri beba watoto ondoka unafikiri hawajui umuhimi wa 2 parents sometimes sounds nothing ,je libaba/ liko tu pale haliwatunzi mnamuona mama yenu anavyoteseka na nyie bado mnataka tu kumuona wa faida gani? Kifulambute
yaani just because wana watoto ndio mtu akae kwenye ndoa ya mateso au kutokua na raha aah wapi...mtoto or no mtoto ajiondokee zake...atakapopewa ukimwi akafa ndio wenziwe watahamia hapo nyumbani kwake kabisa
Bishanga naanza kuamini kuwa wewe ni dikteta i was respecting you so much ila leo umeamka vibaya toka kwenye hii post najuta-nimezaa-nje yandoa-ushauriwakomuhimu-sanaYetoo,chunga sana ushauri unaotolewa kwenye jamvi hili,soma waliyoandika kisha changanya na za kwako.
By the way usilolijua ni usiku wa giza,siku nyingine think twice kabla hujagusa simu ya mmeo unless umechoka na ndoa yako na unatafuta mlango wa kutokea.
haya maneno akiyasikia dada yangu gfsonwin atafurahi sana asante sana,mkuu ni kweli Kifulambute huu mchezo nimeucheza sana na hayo ya sio utamu mbona madogo unaelewa hii unasikia katika tano bora za wanawake niliotarajia kuwaoa hana hata sifa mmja alijilazimisha tu ila jioni akirudi analia wee kifuani wanaume wakiamua kumpata mwanamke yyte atamtukana hata kumkana mamayake mzazi but truthremain his wife is the best huwa wengi tunaogopa tu magonywa nyemeleziAmsterdam uko sawa kabisa lakini kumbuka the quit decision has to be the last if and only if no changes expected from the victim. ikumbukwe kuwa hayo aneno aliyo andika mumewake kwa secretary kuwa mke wake si mtamu kama secretary si kweli ni defensive mechanism na uroho tu ili apate penzi la secretary, sasa cha msingi ni yeye Yetooo na mume wake wakae waongee wakiwa wao kama wao ni wangapi wanafumaniana tena kitandani lakini wanakaa na kuyazungumza na wanaishi kwa raha mstarehe wakiwa wote?
haya maneno akiyasikia dada yangu gfsonwin atafurahi sana asante sana,mkuu ni kweli Kifulambute huu mchezo nimeucheza sana na hayo ya sio utamu mbona madogo unaelewa hii unasikia katika tano bora za wanawake niliotarajia kuwaoa hana hata sifa mmja alijilazimisha tu ila jioni akirudi analia wee kifuani wanaume wakiamua kumpata mwanamke yyte atamtukana hata kumkana mamayake mzazi but truthremain his wife is the best huwa wengi tunaogopa tu magonywa nyemelezi
Pole sana kama hamna watoto jikalie pembeni tu kuepusha msongamano! Kama mnao hamna jinsi hapo ila ndio hvyo tena sio mtamu!! Na wewe tafuta mtamu wako muende sawa!
Juzi usiku nikaamua kubadilisha(edit) no ya huyo secretary wake;nilichofanya nilizifuta nikaweka no.zangu kwenye jina lake na kwenye jina langu nikaweka no.za secretary.Jana asbh nikiwa ofisini nikapata msg ya kwanza kutoka kwa mume wangu akijua anamtext secretary