Mcheza Karate
JF-Expert Member
- Jun 30, 2011
- 690
- 354
Siamini ushirikina lakini najua upo!!Hio nyumba ina majini si bure!!hali hio ilianza hapo kwenye hio nyumba mpya au ilishawahi kutokea awali?
Kuna kipindi nilishakiona kwenye TV kinahusiana na true stories kuhusiana na habari kama ulizozisema wewe,Na explanation behind the stories i saw was either they were lost spirits of dead people in the house who used to live there and never moved on or DEMONS which are worse case sceneario cause hawa demons wanakudhuru kabisa yaani wanaweza hata wakuue wanakutawala mwili wako.Hawo majini au demons wakiwa absessed wanakuwa wanakufata haisaidii ukihama wanahama nawe!!Hao watu wanatakiwa wafanyie maombi ya uhakika!
Cc Eiyer
Hata huyu jamaa yangu hakudai kodi
Unadhani ujasiri wa kudai kodi utautoa wapi?
Halafu unadhani ni Bugando tu?
Hii makitu ya kuuza maji ya maiti niliwahi kukutana nayo mahili kwingi sana na mikoa tofauti tofauti!
Kuhusu ushirikina sijui lolote coz siamini ...Nilipo bold ndipo pananipa utata!
Bad litaungua halafu vitu vilivyomo vibakie?
Yaani hivi vituko ni vingi sana
Unaweza kuhamia kisha ukaambiwa wanaume humo huliwa kibog sijui inakuwaje aisee!!!!!!
Jamaa na yeye nahisi aliingiliwa kingono ndo maana wakafanya maamuzi ya gafla ya kuhama.
Kuhusu ushirikina sijui lolote coz siamini ...
Eiyer mimi sio expert wa dini...lakini nitaongea kutokana na upeo wangu nilonao ni kwamba hata dini ya uislam imesema katika Quran takatifu kwamba kuna viumbe vinavyoitwa majini!Na hao majini wanauwezo wakufanya matendo ambayo wanaadamu wa kawaida hawawezi kufanya.So ninachoshauri mimi hao watu waombewe kutokana na imani yao walokuwa nayo!
Ngoja nimuite maalim MziziMkavu aje atufafanulie!
Me ningejifanya kauzu niichome moto nyumba
Sasa si nimeshasema limeungua?
Halafu wewe ngoja tu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Thubutu...huo ubavu utakuwa nao basi
Naiwasha tu moto kwa Petrol