tatizo litaendelea kwa wahamiaji wengine, lakini nguvu za giza zikishindwa, ukombozi unakuwa ni endelevuameshahama mkuu!
Ipo haja ya kufanya tafiti za awali kabla ya kuhamia kwenye nyumba husika! hasa katika mkoa huo wa Mwanza nyumba nyingi zinamilikiwa na wajane ambao ukifuatilia wanakuwa wamewaua waume zao.
tatizo litaendelea kwa wahamiaji wengine, lakini nguvu za giza zikishindwa, ukombozi unakuwa ni endelevu
Nimefafanua zaidi juu!Mh!Sijakuelewa kabisa bibie!!!!!!!!!
Mkuu hebu soma tena mada!
Naona kuna maeneo hujayaelewa!
MUNGU atusaidie tuondokane na hizi nyumba za kupanga tuishi kwetu,..