Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,343
- 33,487
duh,basi kumbe time imesetiwa vibaya kwangu,nilishaanza kuona huyu jamaa katunga story.Maelezo yanaeleweka alipost ujumbe huu tangu jana ila wewe unausoma leo.
duh,basi kumbe time imesetiwa vibaya kwangu,nilishaanza kuona huyu jamaa katunga story.Maelezo yanaeleweka alipost ujumbe huu tangu jana ila wewe unausoma leo.
hzo ni story za mtaani.....sijui kama zina ukweli....Nimecheka sana aisee!!!!!!!!
Me ndo maana siafiki hili swala la kununua nyumba,maana zina mengi sana
Yaani ibilisi akikutanaga na watu wasiomjua Mungu huwaonea sana. Huwa nina hasira nae sana na mtaani kwetu tumemfurumusha kabisa. Mahala nilipojenga kibanda changu pia kulikua na watu wazito kwenye mambo ya giza napo tulipohamia tu tulihakikisha wafuasi wa ibilisi wanafunga virago au wanaacha kazi ya ibilisi. Kulikua na waganga wengi ndugu yangu wote walihama mmoja baada ya mwingine tulihakikisha mtu haruki na ungo usiku. Haya yote alitushindia Yesu hivyo sifa na utukufu apewe yeye. Nadhani huyo ndugu hii kitu itamsaidia kuamini kwa sababu ibilisi hataacha kumchezea ni mpaka atakapoamua kumtimua kwa hili jina lipitalo kila jina "YESU"Ni kweli
Huyu jama yangu alikuwa ni moja kati ya wale watu waliokuwa wabishi sana kwenye mambo haya,lakini sasa atakuwa ameipata fresh na sasa atajua kuwa kuna ulimwengu mwingine ambao hatuuoni na ki ukweli ni wa ajabu sana
Hahahahahaha hapo lazima ingempasa aamini hii nguvu nyingine iliyo juu ya vyote. Pia ni ngumu kukuta eneo safi kabisa halina mauza uza . Kikubwa ni kuwa na imani tu na kugangamala mpaka kieleweke. Kumbuka kuna watakaokuzunguka nao huwajui background yao na wanasema ni rahisi kuchagua rafiki lkn jirani huwezi kuchagua .Dah!!!! Hii inatisha sana!!! Bora ilikuwa ni nyumba ya kupanga, fikiria kama jamaa ndio alikuwa ameinunua hiyo nyumba kwa mamilioni chungu nzima!!!....ingekula kwake.
Kama mwenye nyumba hakuonyesha kujali walipomueleza matatizo wanayoyapata sasa huenda anatumia ujanja huo kujipatia pesa. Anafanya kusudi kuwafanyia wapangaji mauza uza ili waache kodi zao na maisha yanasonga. Wakimdai atawatembelea huko huko waliko mbona watajuta hata kudai hizo pesa, safari hii waweza kujikuta wako njia panda wamechapa usingizi. Unajua wasingehama wangewatafuta watu wenye imani wafanye huduma mahala pale na mambo yangekua shwari.dah hiyo ni ngumu kumesa aiseh,,,,,,,,,,mwambie awakomalie hakuna kuipangisha hadi mkataba wake utakapoisha la sivyo mpangaji atakayeingia amrudishie pesa pesa maana hiyo ndio njia pekee atakayoweza kurecover pesa yake.
Mkuu ni wapi huko ambako hii kitu waliimaliza kwa style hiyo?
Yaani ibilisi akikutanaga na watu wasiomjua Mungu huwaonea sana. Huwa nina hasira nae sana na mtaani kwetu tumemfurumusha kabisa. Mahala nilipojenga kibanda changu pia kulikua na watu wazito kwenye mambo ya giza napo tulipohamia tu tulihakikisha wafuasi wa ibilisi wanafunga virago au wanaacha kazi ya ibilisi. Kulikua na waganga wengi ndugu yangu wote walihama mmoja baada ya mwingine tulihakikisha mtu haruki na ungo usiku. Haya yote alitushindia Yesu hivyo sifa na utukufu apewe yeye. Nadhani huyo ndugu hii kitu itamsaidia kuamini kwa sababu ibilisi hataacha kumchezea ni mpaka atakapoamua kumtimua kwa hili jina lipitalo kila jina "YESU"
Me ningejifanya kauzu niichome moto nyumba
maji ya maiti ni dili sana hasa kwa waganga ambao wanataka kuwarudisha watu kazini waliofukuzwa , vile vile fimbo ya kipofu , kucha za mwehu nk , yaani ni majanga tu