Nilichokishuhudia leo...!

Nilichokishuhudia leo...!

Duuh,..Mwenyezimungu atuepushie mbali hayo mambo,...hizo ishu zipo,wengi zimewakuta. Watu wanasamehe hadi fenicha ili mradi asirudi tu kwenye nyumba.

Daah!
Yaani ni hatari mkuu!

Ntu anasamehe meza aliyokusanya hela mwezi mzima kuitengeneza sio mchezo!!!
 
Mkuu hayo marekebisho mnayokusudia kuyafanya ningeshauri mtoe hela tu!
Yap! Munaruhika hata kisheria!!!
Kupeleka-peleka pua zenu kule, ni kuzidi kuchokoza mishe za watu!!!!
...
Nahis hisi hiyo nyumba inamigogoro either ya kifamilia or biashara (May b ushindani wa kupangisha nyumba) or majirani!!!!
...
Walipeni hela musepe!
 
ongea nao vizuri,,. Huenda kuna mavitu yanawafuata walioyarithi kwao... Oohh,.!!

Kwani wotw wanaotokewa na hii kitu wanakuwa wamerithi?
 
Jamaa na yeye nahisi aliingiliwa kingono ndo maana wakafanya maamuzi ya gafla ya kuhama.
 
Mkuu hayo marekebisho mnayokusudia kuyafanya ningeshauri mtoe hela tu!
Yap! Munaruhika hata kisheria!!!
Kupeleka-peleka pua zenu kule, ni kuzidi kuchokoza mishe za watu!!!!
...
Nahis hisi hiyo nyumba inamigogoro either ya kifamilia or biashara (May b ushindani wa kupangisha nyumba) or majirani!!!!
...
Walipeni hela musepe!

Mkuu hebu soma tena mada!
Naona kuna maeneo hujayaelewa!
 
Kabisa mkuu!
Hii mambo ya kuhamia halafu unakutana na stiki kama mtoto hayafai!

Maana kuna jamaa aliwahi kuniambia kuwa alipohamia kwenye nyumba moja hivi alikuwa anatandikwa fimbo sana hasa zile siku alizokuwa anamgegeda mkewe

Sikumwamini ila leo nimejua alichokuwa ananiambia....lol!

CC Mtambuzi !!!!
Hii nadharia ya kutoamini kwamba kuna kifo kwa sababu hatujakufa inamrahisishia kazi sana Israel mtoa roho,kinga ni muhimu mkuu!
 
Yaani hivi vituko ni vingi sana
Unaweza kuhamia kisha ukaambiwa wanaume humo huliwa kibog sijui inakuwaje aisee!!!!!!

kuna jamaa yangu alipata nyumba ila akaambiwa haruhusiwi kwenda chooni mida ya jioni kuanzai saa 12:00 mpaka saa 1:00
 
Hii nadharia ya kutoamini kwamba kuna kifo kwa sababu hatujakufa inamrahisishia kazi sana Israel mtoa roho,kinga ni muhimu mkuu!

Kweli kabisa mkuuS
io kila kitu ni lazima kikutokee,vingine vikitokea vinaondoka na wewe jumla!!!!!
 
kuna jamaa yangu alipata nyumba ila akaambiwa haruhusiwi kwenda chooni mida ya jioni kuanzai saa 12:00 mpaka saa 1:00

Mwishowe unaweza kuambiwa usimgegede mkeo asubuhi!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom