Nilichokiona leo Kivuko cha Kigamboni

Nilichokiona leo Kivuko cha Kigamboni

MR MAJANGA

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2014
Posts
3,524
Reaction score
10,817
Leo wakati nipo ferry nimeshuhudia kitu cha kusikitisha, licha rais wetu anajitahidi kudhibiti rushwa na kukusanya mapato, lakini kuna watz wachache wamethibitisha mtoto wa haramu hata umfiche ndani ya chupa atatoa kidole tu ili kuonyesha uwepo wake.

Ni hivi, nimefika ferry mwanzoni kabisa nakutana na geti na kibanda cha kukatia tiketi, nikalipa nauli nikapewa tiketi iliyochapwa kwa kompyuta. Nikaingia ndani nakutana na kijana ambaye anakusanya zile tiketi na kuzimulika ( jina silijui) na kitu kama sensor fulani ambazo husoma zile tarakimu na kuziingiza kwenye mfumo wa ukusanyaji mapato pale kivukoni,

Sasa huyu jamaa anachokifanya ni kukusanya tiketi kama kumi halafu anaimulika ya juu tu halafu anazichana, kwa hiyo zile tisa za chini zinakuwa hazijaingizwa kwenye kompyuta kuonyesha kuwa tiketi zile zimenunuliwa.

Nashauri kuwe na mashine ambazo ikitoa tiketi isome moja kwa moja bila kuhitaji mtu wa pili wa kumulika kama zile za madukani.
 
Leo wakati nipo ferry nimeshuhudia kitu cha kusikitisha, licha raisi wetu anajitahidi kudhibiti rushwa na kukusanya mapato, lakini kuna watz wachache wamethibitisha mtoto wa haramu hata umfiche ndani ya chupa atatoa kidole tu ili kuonyesha uwepo wake, ni hivi nimefika ferry mwazoni kabisa nakutana na geti na kibanda cha kukatia tiketi, nikalipa nauli nikapewa tiketi iliyochapwa kwa kompyuta, nikaingia ndani nakutana na kijana ambaye anakusanya zile tiketi na kuzimulika ( jina silijui) na kitu kama sensor fulani ambazo husoma zile tarakimu na kuziingiza kwenye mfumo wa ukusanyaji mapato pale kivukoni, sasa huyu jamaa anachokifanya ni kukusanya tiketi kama kumi halafu anaimulika ya juu tu halafu anazichana, kwa hiyo zile tisa za chini zinakuwa hazijaingizwa kwenye kompyuta kuonyesha kuwa tiketi zile zimenunuliwa, nashauri kuwe na mashine ambazo ikitoa tiketi isome moja kwa moja bila kuhitaji mtu wa pili wa kumulika kama zile za madukani
Magu amebeba gunia la misumari
 
Kumbe ndio hivyo. Mi nilifikiri kuimilika [scan] ni kuzuia usiitumie tena hio tiketi.
 
Mkuu hongera sana na Tanzania itajengwa na watu kama wewe. Hiyo solution uliyotoa ni nzuri sana na wao nadhani hawataki kuitumia kwa sababu wanajua hawataambulia kitu. Jamani madiwani na wahusika wote pitiane hapa!!!!
 
Pale kivukoni kuna jibu kubwa sana...pesa zinazokusanywa ni nyingi sana kwa siku lakini utashangaa jinsi injini za vivuko zinavyoharibika kila siku na kufanyiwa marekebisho ya kurashiarashia
 
Point of sale technology tu inatushinda.
 
Leo wakati nipo ferry nimeshuhudia kitu cha kusikitisha, licha raisi wetu anajitahidi kudhibiti rushwa na kukusanya mapato, lakini kuna watz wachache wamethibitisha mtoto wa haramu hata umfiche ndani ya chupa atatoa kidole tu ili kuonyesha uwepo wake, ni hivi nimefika ferry mwazoni kabisa nakutana na geti na kibanda cha kukatia tiketi, nikalipa nauli nikapewa tiketi iliyochapwa kwa kompyuta, nikaingia ndani nakutana na kijana ambaye anakusanya zile tiketi na kuzimulika ( jina silijui) na kitu kama sensor fulani ambazo husoma zile tarakimu na kuziingiza kwenye mfumo wa ukusanyaji mapato pale kivukoni, sasa huyu jamaa anachokifanya ni kukusanya tiketi kama kumi halafu anaimulika ya juu tu halafu anazichana, kwa hiyo zile tisa za chini zinakuwa hazijaingizwa kwenye kompyuta kuonyesha kuwa tiketi zile zimenunuliwa, nashauri kuwe na mashine ambazo ikitoa tiketi isome moja kwa moja bila kuhitaji mtu wa pili wa kumulika kama zile za madukani

Ndiyo maana huko CHINA watu wa aina hii hupigwa risasi.
 
Basi ni ufuatiliaji tu mbovu hapo, hapo kama wana nia ya kuwakamata hao wezi ni rahisi sana! Tatizo unakuta ni timu yote ya hapo ferry hadi manager wao wamepanga hivyo.
 
Sometimes hata wale wa nguo nyeupe barabarani wanakuwaga na vitabu viwili. Kimoja cha sirikali na kingine cha magumashi.
 
Leo wakati nipo ferry nimeshuhudia kitu cha kusikitisha, licha raisi wetu anajitahidi kudhibiti rushwa na kukusanya mapato, lakini kuna watz wachache wamethibitisha mtoto wa haramu hata umfiche ndani ya chupa atatoa kidole tu ili kuonyesha uwepo wake, ni hivi nimefika ferry mwazoni kabisa nakutana na geti na kibanda cha kukatia tiketi, nikalipa nauli nikapewa tiketi iliyochapwa kwa kompyuta, nikaingia ndani nakutana na kijana ambaye anakusanya zile tiketi na kuzimulika ( jina silijui) na kitu kama sensor fulani ambazo husoma zile tarakimu na kuziingiza kwenye mfumo wa ukusanyaji mapato pale kivukoni, sasa huyu jamaa anachokifanya ni kukusanya tiketi kama kumi halafu anaimulika ya juu tu halafu anazichana, kwa hiyo zile tisa za chini zinakuwa hazijaingizwa kwenye kompyuta kuonyesha kuwa tiketi zile zimenunuliwa, nashauri kuwe na mashine ambazo ikitoa tiketi isome moja kwa moja bila kuhitaji mtu wa pili wa kumulika kama zile za madukani
Pale ni zaid ya jibu kuna kila aina ya madudu pale....
 
Kunamashine za kununua kadi ukifika pale unaichanja kwenye mashine geti linafunguka hiyo biashara imekwisha haina haja ya kuweka mtu wa pili. Inaokoa fedha za kuajiri mwizi na inaongeza mapato
 
Hilo wezi walilijua ila hawakutaka kununua kwa kuwa hawata iba, usifikiri wamenunua hiki kimashine kimakosa ila wanajua wanachokifanya, chunga sana binadamu wakati unajitahidi kujenga kuna wajinga wanajitahidi kubomoa
 
Nijuavyo mimi....ile tiket inakuwa scanned ili isitumuke mara mbili....kwamba mapato yanapotea kwa kutoscan sidhan kama ni dhana sahihi. Itakuwa sahihi tu kama hizo tiket zitaenda kuuzwa tena...hapo mapato yatapotea.
 
Back
Top Bottom