Yaani sisi huku tupo kwa ajili ya kazi ya muda mfupi tu so familia zetu tumeziacha mikoani so mzee hana familia huku
Nani alitongoza mwenzie na je mme wa mtu anamtimizia vipi mahitaji mke wake? Je si nasoma humu kila siku kuwa michepuko haiepukiki hivyo michepuko ni kwa wanaume tu?Wanachosha mnoo.. Mi nimewaletea tukio lilitokea jana ili wote tujifunze kitu lakini wanabisha
Wote wana makosa hivyo usihukumu mtu mmoja tu. Ungekuwa siyo biased ungemkamata yule mwanamme ili naye apate haki yake. Umetuelezea tayali mke wa mtu ana mtoto mchanga na amefunga ndoa juzi juzi hivyo watu wanaweza unganisha dots na kumfahamu. Kwanini hukumtaja huyo mzee aliyefumaniwa na anakaa wapi na ofisi yake ili naye ajulikane?Kwahiyo unataka kusema mwanamke hana kosa?
Hivi kwani mwanamke akijifungua k inarudi baada ya mda gani i mean iwe sawa kama zamaniHabari za asubuhi wajenzi wa taifa.. Ninayo matumaini ni wazima wa afya njema huku mkiendelea na majukumu yenu ya kila siku..
Back to the point..
Jana usiku mida kama ya saa 6:30 hivi nilikuwa na wafanyakazi wenzangu watatu tukisubiri mzigo fulani kutoka makao makuu so ilibidi tukae mpaka muda huo ofisini.. Mara ghafla tukasikia mtu anapiga yowe maeneo ya jirani na ofisini ikabidi tutoke angalau tukatoe msaada kwa mtanzania mwenzetu..
Ile kutoka tu tukakutana na mtu mfupi mweusi tii alafu ana bonge la kitambi kavaa boksa tu huku akiwa peku peku anakimbilia upande wetu..
Kwakuwa hatukujua nani anaepiga yowe alitupita huku tukihisi yeye ndo anae hitaji msaada ndipo sekunde chache tukagundua kumbe yeye ndo muovu na ndio anaepigiwa lile yowe..
Kwakuwa alikuwa bado hajafika mbali ikabidi nimshone kumkimbiza..
Yaani hakupiga hata hatua ishirini nikamdaka aiseee sikuamini kumbe ni mfanyakazi mwenzetu tena ni mzee wa miaka kama sitini hivi yaani anahema kama chura..
Akanambia Dracula niachie nimefumaniwa na mke wa mtu nitauwawa ikabidi nimwache asepe..
Ule umati ulipofika pale nikawaambia kwamba jamaa kanizidi mbio kakimbia na kupotelea gizani hapo ndipo nikapata fursa ya kumsikia mume wa yule mwanamke aliekuwa anazini na mzee wetu..
Kwanza mwanamke ana mtoto mchanga wa mwezi mmoja.
Pili amefunga ndoa wiki iliyopita tu walifunga ndoa siku ya jumapili ya pasaka.
Pia jamaa akasema alikuta mtoto wake analia mpaka sauti imekauka kawekwa kwenye sofa huku mkewe akichumishwa mboga kitandani, anadai hayo yote aliyaona kupitia dirishani..
Nilipatwa na hasira maana huyu mume wa huyu mwanamke ni kijana anae hangaika sana kuhakikisha anai hudumia vizuri familia yake alafu anakuja mzee kumto*ea mke wake..
Hivi ina maana huyu mzee hajui uchungu wa mke kweli? Tena mke mwenye mtoto mchanga aisee..
Nawakilisha wakuu ila ningependa mjifunze kitu hapa
Aisee, tunasibiri kuona nini kitaendelea. Ila mm binafsi mapenzi na huyo mwanake yataishia hapo na huenda nikamrudisha ili kuepusha madhara mbeleniJioni ntawapa mrejesho ila mzee aliacha nguo zake huko pia yule mwanamke ali format simu yake ili kufuta ushahidi
Hivi siku ya4 baada ya kujifungua hakuwi kumetanuka jaman daah kuna hata ile la ladha kwa wale wajuvi wa mamboHii kawaida tu kuna jamaa alimfuatilia mdada mmoja akamtolea nje akaja kumkubalia akiwa na ck tatu tangu ajifungue jamaa akamla siku ya NNE akiwa amejifungua hawa viumbe acha tu
Yaani hata kama ni wewe lazima uwe njia panda kwa maamuzi utakayochukua kwa huyo mzee maana unafahamiana naye...Baada ya kupata maelezo yote hayo ya kijana mwenzako, uamuzi wako wa busara ungekuwa ni kwenda kumchomoa huyo mbilikimo wenu hata km yupo uvunguni na kuhakikisha kijana mwenzako anaondoa dukuduku lake.
Lakini kosa lako ni kusikitika huku muharifu unamjua na umemficha, subiri siku moja nawe ufichiwe muovu wako
Mkuu apatae mke apata kitu chema nae ajipatia kibali kwa Bwana oa tu mkuu Mungu atakupa mke mwemaDaaah yaani wanawake sijui wana shida gani jamani yaani mtoto wa mwez mmoja kweli mtu unachepuka unajua kuna vitu vinatia hasira sana kwakwel
Yaani bora kuto kuoa tu....
Pale nyomi ikishajaa wanaweza kumuua na usiwe na maamuzi yoyote aiseeUlifanya kosa kumuacha aende..kuna siku utashangaa kumuona na mkeo kitandani kwako...ungemuacha wa mpe kichapo bt wasimuue tu...mke anauma asee.
Haya tu-assune ni kweli kama ni wewe utafanyaje?Hii chai
Na wewe unataka video?Uwongo wa kitoto sana huu