Nilichokiona jana usiku

Nilichokiona jana usiku

Daaah yaani wanawake sijui wana shida gani jamani yaani mtoto wa mwez mmoja kweli mtu unachepuka unajua kuna vitu vinatia hasira sana kwakwel

Yaani bora kuto kuoa tu....
Huyo mtoto sio wa huyo kijana.
Ni wa huyo mzee.
Kijana kauziwa mbuzi kwenye gunia.

Wanawake huwa hawafanyi ngono na mwanaume ambaye sio baba wa mtoto ndani ya muda mfupi baada ya kujifungua.
Huwa wanaambiwa na mama zao mtoto atadhurika!!
Hii ni elimumtaani.com
 
Back
Top Bottom