Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,454
- 872,070
Bagamoyo roadSehemu Gani huko?
Bagamoyo roadSehemu Gani huko?
Akili za kimasikiniHili linakwenda kuua ''ajira'' za watu wengi. Pia ni mlango wa kuingiza bidhaa hafifu.
True pana mtanzania alienda ulaya rafiki yake mzungu akamuuliza mtza una gari ya kwenda kazini mbongo akamwambia hapana, mzungu akamshangaa sana mbona yaani hauna gari, mbongo akamwambia mzungu una shamba mzungu akasema sina mbongo akamwambia mzungu nina heka 20 Tanzania mzungu akamshangaa sana eka 20?China ardhi ni bei ghali mno.. Wakija huku mpaka wanatucheka bei zetu ndio maana mtu ananunua hekari 50 na zote anazipiga ukuta
Thanks. Lakini kuna siku utasema vingine.Akili za kimasikini
Akili zako zimelala mnoThanks. Lakini kuna siku utasema vingine.
Itakua wapi hiiKuna mwingine kachukua hekari 300 anataka kujenga "self contained city" jiji ambalo litakuwa na kila kitu mpaka air strip
Kumbi kubwa za starehe za kila aina
Mega shopping malls
Fun cities
Circuses
Casinos
Hotels
Nknk
BagamoyoItakua wapi hii
Ni kweli. Mpaka siku nikiona ma-viwanda makubwa makubwa yanajengwa ndiyo zitazinduka. Lakini hili la kufanywa wachuuzi wa mchina, acha zizidi kulala.Akili zako zimelala mno
Ndiyo!Heka 2000 ?
Ile ni supermarket kwa watu tuliotembea na kuona masoko ya kimataifa huko duniani.
Pale hata kupiku mtaa mmoja tu wa kkoo haiwezi.
Hujiulizi kwann fremu zinaombewa mpaka sasa hivi kama ni dili? Katafute frem kkoo uone muziki wake
Hawanunui wanakodishiwa kwa miaka 30China ardhi ni bei ghali mno.. Wakija huku mpaka wanatucheka bei zetu ndio maana mtu ananunua hekari 50 na zote anazipiga ukuta
Nilikwenda nikakuta bado kabisa, yaani waingizaji ni wachache kuliko waswhili wachuuzi! Ni kama nilikua Sabasaba, sikuona sababu ya uzinduzi wa haraka kabla ya maduka kuenea.East Africa Commercial and Logistics Center (EACLE) hii ina maduka 2000 na pia inatarajiwa kuwa Centre ya biashara Africa Mashariki
Pale nilikwenda na familia siku ya jana aiseee wachina wamejitahidi mno, wabongo waliofungua biashara hapo wamejitahidi mnoo
In fact hii biashara ni win win maana mtu yoyote unaruhusiwa kuwa frame pale.
Nilichojifunza pale patakua na mvuto pekee ikiwa wanasiasa na serikali hawatoingia kati, maana wanasiasa hususan wa CCM na serikali na TRA wamekua ndo maadui wa biashara na ustawi wa biashara na maendeleo ya Mtanzania mmoja.
Tatizo pale patakua pazuri vitu bei chee watu watasomba vitu watauza, vijana watajiajiri sana na watapata faida shida serikali au kichaa mmoja atakuja kuona wivu ataanza kuleta maushuru ya kijinga au tozo.
Yaani sisi kwa sisi ndo tunaongoza kwa kuua nchi yetu, hatutaki ushindani, ukitaka kuamini angalia REA umeme wa 27k, nguzo bure, umeme ulipangwa kushushwa bei, ishu za mafuta kushuka, kujengwa kwa kituo kikubwa cha kusafishia mafuta ghafi East Africa na kati na sisi ndo tungekua kama third party ya kusupply mafuta nchi jirani ,kushusha bei za gesi....Haya yote niliyotaja hapo yalikuja kuingiliwa na watu wenye tamaa za kijinga, wanasiasa walafi mwishowe yakakoma au yakafutika kuanzishwa.
Hili la East Africa Commercial and Logistics Center (EACLE) ni suala la mda tu, wanaanza vizuri but later kuna mtu atakuja kukurupuka na kuharibu tu.
Sina exactly locationSehemu gani?
Zinga,Mapinga,Kerege au Kitopeni?
Ok nimekupata.Sina exactly location
Bado project haijaanza ikianza kila kitu kitajulikanaOk nimekupata.
Project inaonekana ni kubwa sana.Bado project haijaanza ikianza kila kitu kitajulikana