Nilichokigundua Kutoka Simba Mpya - Simba 0 - 1 TP Mazembe

Ninachoona hapa ni kwamba umeshajengeka mtazamo kuwa Simba anatakiwa afanye vizuri, akifanya vibaya kuna jambo la kuchunguzwa, lakini Yanga huwa hakuna kipya, maana tayari huwa anatazamiwa kufanya vibaya
Yaaah
 
Fanya analysis ya kikosi chenu cha Yanga huko Nigeria ya Simba yaache

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Ni mapema sana kusema kikosi i kibovu au kizuri, hebu tuwape muda kidogo wajenge muunganiko!
Vijana wanahitaji mambo madogo watafanya kweli!
 
Kwa hiyo pamoja na preseason mbili Morocco na Tz Arusha na mechi kadhaa za kujaribia bado hamjaunganika na nyie? Mimi nilifikiri hili tatizo liko upande mmoja kumbe kotekote?
Ruti zoote hizo lakini hola D,,ndio ivyo madhee,sahivi ukifungwa chaka zuri la kijificha ni muunganiko.
Yanga washatufunza sababu na sisi Simba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…