macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 29,482
- 61,396
Hongera sana. Inaonekana wazazi wenu waliwalea na maadili mazuri. Wenye uaminifu siku hizi ni wachache. Hata mimi naweza kusema bila mashaka yoyote kuwa familia yetu tunaaminiana sana. Hakuna mwenye hila za utapeli au tamaa ya fedha Tuanasaidiana na hata anayekopa anarudisha. Akisema hana ni hana kweli na si utapeli.Kulipa ni imani wengine wana heshima na uaminifu mm nilikopa kwa kaka wa damu tumbo moja fuko moja mama mmoja baba mmoja laki 8 nimezilipa zzzzzote na si robo robo na rafk yngu alindai laki nne nimemlipa tena kwa wakat na kwa pamoja najua nikimpa nusu nusu ni hasara tupu hakuna kitu kibaya km kubroke someone trust unafikwa na shida tena hupati Masada kamwe unaishia kudanga