Yapata miezi miwili tangu nimkopee rafiki yangu pesa toka kwa shemeji yake ambaye ni mpenzi wangu, anachukulia poa kulipa ilo deni.
Huu ni mwezi wa pili sasa na kuna wakati namuona ana pesa ya kuweza kulipa ila halipi na kila nikimkumbusha ujifanya hana pesa.
Leo bi kidude kawaka sana kuhusu pesa yake kwangu. Nilichoamua nitamlipa bi kidude ila nimekoma na sitathubutu kukopesha rafiki tena, nimejifunza.