Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,558
- 109,091
Wewe ni mkatoliki wa wapi? Taifa ni wapi katika kanisa katoliki?Unadhani kwenye hizo taasisi wanaohudumiwa ni wakatoliki tu? RC ni kanisa la dunia, hata sadaka unayotoa usidhani inaishia parokiani, Kuna asilimia zinaenda jimboni, Taifa, Na Makao makuu Vatican ili isambazwe mahala penye uhitaji ulimwenguni pote! Huko Somalia,Darfur kwenye vita wanahitaji misaada, Viongozi wakuu Vatican wanahitaji kuhakikisha huduma za kiroho zinaenea ulimwenguni pote siku zote! Kufikia sehemu zisizofikika! Kuongeza na kujenga tena na tena mashule mengine makanisa mengine mabenki mahospital zingine.Lengo sio kutafuta faida Bali kuihudumia jamii kimwili na kiroho.
Huna ulijuwalo ndio maana kazi yenu kupinga tu mkisikia yale msiyopenda kusikia.
Nyinyi ndio wale wajinga mliokuwa mkiamini Askofu Pengo ndio mkuu wa kanisa katoliki Tanzania.