Ya kwanza hudhulia misa Takatifu na sikukuu zilizoamliwaMkuu hebu nitajie ni amri ya ngap inasema hudhuria misa ijumaa kuu?
Mkuu hebu nitajie ni amri ya ngap inasema hudhuria misa ijumaa kuu?
Wapi hapo iliposema sikuu hizo ni ijumaa ndg KatekistaYa kwanza hudhulia misa Takatifu na sikukuu zilizoamliwa
Nipe mfano wa sadaka zetu zinasaidia vipi jamii?Ndugu yangu, bila haya mathehebu yanayoibuka hivi sasa Amani ingekua zaidi ya sasa.
Niseme kweli Roman Katoric, ni dhehebu pekee kongwe Tanzania kuliko yote, pia ni dhehebu pekee, unaona muumini anachokitoa kinaelekezwa kuisadia jamii siyo mtu.
Wewe itakua ni msabato...Na wewe katafute nani alitoa amri watu wapumzike ijumaa kuu kwenye biblia
Nani alitoa amri watu washerekee Christmass na siku ya boxing day wa napumzika tena
Ukipata majibu njoo
Hapana.Si za Jumuiya Bali ni Amri za KanisaAmri za jumuia.
Umeshawahi kuzuiliwa ulipotaka kuingia kusali katika parokia yoyote? Hilo kanisa uliloingia unadhani lilidondoka LENYEWE kutoka juu? Na Padre unadhani aliokotwa tu?Nipe mfano wa sadaka zetu zinasaidia vipi jamii?
Ijumaa Kuu ni Siku Kuu : "Hudhuria misa takatifu, dominika na sikukuu zilizoamriwa"Wapi hapo iliposema sikuu hizo ni ijumaa ndg Katekista
Ni kweli kabisa hiki kipengele kipo kwenye ibada ya ijumaa kuu. Leo Padre alivyosema tuwaombee wasiomjua na kumwamini MUNGU, nimejikuta namwombea Kiranga. Nimemwambia MUNGU, "MUNGU kuna mtu huko Jamie Forum anaitwa Kiranga, japo najua si jina lake halisi lakini wewe MUNGU unamjua zaidi Nakuomba umguse ili akujue na kuamini kuwa upo"Bwashee, kipo kipengele cha kuwaombea wapagani, wasio muamini Mungu nk.
Ijumaa Kuu ni siku ya huzuni.Hata Kengele huwa hazigongwi kanisani wala vinanda wala picha na marembo mbalimbali huondolewa au kufunikwa na vitambaa vya urujuani na hata baada ya misa huwa ni kuondoka kimyakimya.Hii yote ni ishara ya kuhuzunika baada ya kutambua kwamba tumemuua mtu asiye na hatia kama jinsi wale waliomtundika Yesu msalabani walivyoondoka kila mmoja upande wake wakipiga piga vifua vyao.Mi kitendo cha kuondoka kimyakimya bila shangwe nimeona kama natoka kwenye mazishi, na hii ndo ukitoka nje unaanza kuwaza maisha baada ya hapa duniani.
Jumuiya ya kanisa katolikiHapana.Si za Jumuiya Bali ni Amri za Kanisa
Mimi ni muumini wa Kanisa Katoliki na siku ya Leo ni siku ya amri ya kanisa, Kwamba ni lazima kuhudhuria misa ya Ijumaa kuu.
Katika misa ya Ijumaa kuu moja ya sehemu ya Liturjia ya misa ni maombi mbalimbali yanayotolewa kuyaombea mataifa,viongozi wa dini na serikali,walegevu wa imani , wasio mwamini Mungu,Wenye vita,Njaa n.k
Ni kweli kwamba wapo wahubiri wanaoliombea Taifa kwa ujumla lakini hapa ninazungumzia kumwombea yule ambaye anaonekana kutofautiana kwa namna moja ama nyingine kwa zaidi ya mara moja.Tena kwa kumtaja wazi.
Leo katika misa moja kati ya maombi yaliyotajwa ilikuwa kuwaombea waumini wote wa madhehebu mengine ya kikristu.
Nikawaza, Moja kati ya kanisa linaloongoza kwa kushambuliwa na madhehebu mengine ni hili la RC likishutumiwa kwa mambo mbalimbali kama vile kubadili Sabato,Kuitwa mpinga Kristu n.k Lakini pamoja na yote bado Kanisa linawaombea na kuwakumbuka waumini wote wakristu na madhehebu yao popote walipo.
Jambo hili limenifunza unyenyekevu wa hali ya juu kama muumini wa Kristu ni jambo la muhimu na la pekee sana.Hata pale unapodhulumiwa na kushitakiwa kwa uongo ukiwa kama mkristu unapaswa kuwa mnyenyekevu kama jinsi Kristu alivyokuwa mnyenyekevu hata pale aliposhtakiwa kwa uongo, Kanisa linatufundisha kuwa wanyenyekevu daima.
Nawatakia Ijumaa Kuu Njema na Maandalizi Mema Ya Pasaka
Upo SahihiEwe mkatoliki, Kanisa Katoliki halina MISA YA IJUMAA KUU!!! Baada ya Ibada ya Misa ya Alhamisi Kuu jioni kanisa katoliki haliadhimishi tena MISA yoyote mpaka MISA YA MKESHA WA PASAKA Jumamosi Kuu usiku
Kwani ijumaa kuu si misa pia ni kumbukizi ya mateso ni zote si ijumaa kuu tu ata matawiWapi hapo iliposema sikuu hizo ni ijumaa ndg Katekista
Muislam hutoa sadaka kwa asiye joweza moja kwa moja, hapewi shehe, kama nyie mnavyofanya kumpa sadaka mwamposa, ili azitumie kwa shida zake, tena mchungaji mwingine bila kumuogopa Mungu, anadiliki kupanga kiwango cha sadaka kianzie Tsh 10,000Nipe mfano wa sadaka zetu zinasaidia vipi jamii?
Mkombozi bank, chuo kikuu SAUT, mashule, mahospitali, kumbi za sherehe vyote hivi vinavyomilikiwa na kanisa katoliki vinasaidia nini? Ulishawahi kumuhoji paroko wako au Askofu?Muislam hutoa sadaka kwa asiye joweza moja kwa moja, hapewi shehe, kama nyie mnavyofanya kumpa sadaka mwamposa, ili azitumie kwa shida zake, tena mchungaji mwingine bila kumuogopa Mungu, anadiliki kupanga kiwango cha sadaka kianzie Tsh 10,000
Uchafu huu romani kathoric haupo unatoa ulichonacho na sadaka hizi hutumika kuhudumia kanisa.
Unadhani kwenye hizo taasisi wanaohudumiwa ni wakatoliki tu? RC ni kanisa la dunia, hata sadaka unayotoa usidhani inaishia parokiani, Kuna asilimia zinaenda jimboni, mpaka makao makuu Vatican ili isambazwe mahala penye uhitaji ulimwenguni pote! Huko Somalia,Darfur kwenye vita wanahitaji misaada, Viongozi wakuu Vatican wanahitaji kuhakikisha huduma za kiroho zinaenea ulimwenguni pote siku zote! Kufikia sehemu zisizofikika! Kuongeza na kujenga tena na tena mashule mengine makanisa mengine mabenki mahospital zingine.Lengo sio kutafuta faida Bali kuihudumia jamii kimwili na kiroho.Mkombozi bank, chuo kikuu SAUT, mashule, mahospitali, kumbi za sherehe vyote hivi vinavyomilikiwa na kanisa katoliki vinasaidia nini? Ulishawahi kumuhoji paroko wako au Askofu?