Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,440
Vizuri mkuu,,, usiku mwema piaNi muda niliojiwekea,
Nalala mpaka mida ya utulivu naamka kuendelea na shughuli zangu
Vizuri mkuu,,, usiku mwema piaNi muda niliojiwekea,
Nalala mpaka mida ya utulivu naamka kuendelea na shughuli zangu
Yaani we ni mchochezi ujueSijui kwa nini nikiona wanaume wafupi huwa najisikia kucheka
Umenifanya nianze tena kuchekaYaani we ni mchochezi ujue
HahahaUmenifanya nianze tena kucheka
Sakaya weee!! kumbe huwa nawe unaongeagaa!!" duuh!!Hahaha
Ujue na mie nimecheka eeh
Kuna kitu c bureYaani we ni mchochezi ujue
Ndio mkuuSakaya weee!! kumbe huwa nawe unaongeagaa!!" duuh!!
Kwa nini mkuuKuna kitu c bure
Mmh!![]()
Huyu Anaitwa Paulo mwalimu wa CBE
Dodoma ndo aliyeleta mada ya Mr smart hapa jukwaani na pia ni tapeli tapeli ana tabia ya kutembea na Watoto wazuri wa cbe
Eeehmi nikiongea na wewe sijui kwa nini Naumwa sana!!
Hebu sema kitu hebu
Unataka ninyima nini mie mpaka unisalimie
Ww muongo mie nakujua ww na hilo sio jina lakoAm Jane Msowoya, na natumua avater yangu halisi,
Wewe ndo unae fake mpaka jina sio halisi
EwaaaHahahahahahahaha lol! Uchoyo si asili yangu.