Jesty
Member
- Feb 11, 2018
- 26
- 33
Ewaaaaa mambo ni hiviiiEwaaa
Ewaaaaa mambo ni hiviiiEwaaa
Yako wapi sasaEwaaaaa mambo ni hiviii
Hahahahaah, kwakuwa we ndo umenizaaaa HayaWw muongo mie nakujua ww na hilo sio jina lako
Kasoro mimi mkuu, maana nina wake 4 na nina miliki AvonHahahaaaaaaa hahahhaaaaa
Tuishi uhalisia
?
Bwaha bwaha.....wanaume wote jf wapo single wana magari na wanaishi Dar
na ninaishi huku Imalamagigo karibia na kijiji cha Buyange njia ya kutokea NyanshimbiMkuu nimeshakutana na Member wengi humu Mkuu kuna Mwingine alikuja na Bajaji hata Kabla hajashuka nilivyomuona sikuamini ikabidi nianzishe safari ya dharura ili tu asiagiza hata kinywaji chochote

Cc:Mrembo
![]()
![]()
![]()
raha ya jf ndio hii rafiki. Teh teh teh
Ohhhpppsssss.....Yaan kila siku yanaibuka mambo mapya aiseee

Mungu anakuona ujue....Huku mambo ni motooooo.... Niko pembeni mie damu zisinirukiee!!

Hatari sana wallah.....Aiseeeeee
Aiseeeee......Naona kuna mtu kapanic,uzi mwanzo mwisho unadhalilisha wadada ila kuwekwa huyo mkaka mmoja wanakasirika.

Huduma ya kumrushia majini mtu ambae anaweka picha za watu humu jf unayo....KARIBU KTK HUDUMA YA MZEE NYANGASA KWA HUDUMA ZIFUATAZO : KUMVUTA MPENZI, MATATIZO KTK NDOA, KINGA YA MWILI, KUMRUDISHA ALIEPOTEA, KUONDOA MIKOSI, MVUTO WA BIASHARA, UFAULU MASOMONI, UTAJIRI WA MAJINI NA KUJIUNGA FREEMASON : 0712253421 / 0763382473.

Inasikitisha sana.....Kwani imekuaje mpaka umu anike mshkaji? Du sio poa.![]()
![]()
Hahaaahaaaa......Sijui kwa nini nikiona wanaume wafupi huwa najisikia kucheka

Kama wewe nilidhani ni bonge la chuma kumbe wakawaiida hivyo..Maisha ya mtandaoni na maisha halisi yabidi yatofautiane.... Ndomana ya kutumia fake IDs