Dali Mpofu
Senior Member
- May 9, 2021
- 173
- 329
Sitaki kujua nani yuko nyuma yake(kwasababu kama ni hivyo kwanini wewe asije nyuma yako huyo mtu?).
Ile kauli ya mwenye nacho uongezewa si lazima awe na hela aongezewe hela,unaweza ukawa na nguvu ya kufanya ukaongezewa mbinu, ndo labda ilitokea kwa Niffer.
Wanawake warembo hubweteka na urembo wao, ufanya urembo wao kama kitega uchumi kupitia miili yao lakini Niffer kwake haijakuwa hivyo.
Istoshe ni mwanamke mrembo wa sura, umbo na mwili lakinu kaweka urembo pembeni huyu mdada anapambana aisee.
Sijawai kumjua zaidi niko mikoani vijijini mimi lkn ipo siku naitaji nipate mda wa huyu mdada nizungumze nae mawili matatu.
Watoto wakike wamfanye huyu rolemodel wao, waige upamba naji wake. Hakuna sponser atakaewekeza kwa kwa mwanamke kichwa maji, lazima awe smart kwenye kichwa.
Sisi mageologist hadi tufanye expolation tufanye sampling ndo turuhusu kuwekeza kama hakuna matokeo mazuri hatuwezi kuwekeza kwenye hasara.
Hongera Niffer