Dali Mpofu
Senior Member
- May 9, 2021
- 173
- 329
- Thread starter
- #21
Umejuaje hayo?Sema ile mashine mnato kinoma.... nikimpata nafunga siku 5 na kutoa fungu la kumi kwenye bucha la Shirima kitimoto.
Umejuaje hayo?Sema ile mashine mnato kinoma.... nikimpata nafunga siku 5 na kutoa fungu la kumi kwenye bucha la Shirima kitimoto.
umeiona wapi?Sema ile mashine mnato kinoma.... nikimpata nafunga siku 5 na kutoa fungu la kumi kwenye bucha la Shirima kitimoto.
Niffer ni mrembo toka lini?Sitaki kujua nani yuko nyuma yake(kwasababu km ni ivo kwanini wewe asije nyuma yako huyo mtu?), ile kauli ya mwenye nacho uongezewa si lazima awe na ela aongezewe ela,unaweza ukawa na nguvu ya kufanya ukaongezewa mbinu,ndo labda ilitokea kwa Niffer.
Wanawake warembo ubweteka na urembo wao, ufanya urembo wao km kitega uchumi kupitia miili yao lkn Niffer kwake haijakuwa ivo. istoshe ni mwanamke mrembo wa sura,umbo na mwili lkn kaweka urembo pembeni huyu mdada anapambana aisee.
Sijawai kumjua zaidi niko mikoani vijijini mimi lkn ipo siku naitaji nipate mda wa huyu mdada nizungumze nae mawili matatu.
Watoto wakike wamfanye huyu rolemodel wao, waige upamba naji wake. Hakuna sponser atakaewekeza kwa kwa mwanamke kichwa maji, lazima awe smart kwenye kichwa.
Sisi mageologist hadi tufanye expolation tufanye sampling ndo turuhusu kuwekeza km hakuna matokeo mazuri hatuwezi kuwekeza kwenye hasara. Hongera Niffer
Shem utajiri wa elaUtajiri wa .....
Urembo ni nini kwani?Niffer ni mrembo toka lini?
Weka picha ya muinamo tuthibitisheLabda dada zako ndo wajifunze kutoka kwake huyo "Niffer"
Kainama sana mpaka kufika hapo
Hata kuinama unahitaji picha ili ufahamu??Weka picha ya muinamo tuthibitishe
Picha ya mhusika uliesema kainamishwa sanaHata kuinama unahitaji picha ili ufahamu??
Inahitaj D mbiliAcha kunichonganisha na wenye shule,shule haihusiki hapa
Picha ya mhusika uliesema kainamishwa sana
Utajiri wa niffer una range million 700 - 1 billionKUmbr anahongeka vizuri huyu demu.
Kama utajiri wake ni around 150M kumbe naweza kumtoa vacasheni na nikatumia naye 50M tu akaniona bonge la bwana.
Uongo buanaKuna video nimeona anapigika behind aisee ni hatare
Aweke bank statements na financial reports tujue kama ni kweliNiffer Huyu huyu aliyesema alianza biashara na mtaji wa elfu arobaini eti leo analaza zaidi ya milioni mia na hamsini?
Bado ni pesa ndogoUtajiri wa niffer una range million 700 - 1 billion