Nilichojifunza kuhusu wanawake heshima ya baba ni performance

Lamisele

Senior Member
Joined
Aug 17, 2022
Posts
159
Reaction score
355
Habari za weekend wana JF, niende moja kwa moja kwenye mada.

Binafsi nimeoa miaka 9 iliyopita na watoto 3, maisha ya ndoa yako poa sana. Kwa upande wangu kulingana na mwanamke niliyebahatika kumuoa nisiseme uongo, mke niliyepata changamoto ni chache na za kawaida.

Ila kama kamuda kamepita kama miezi 6 hivi performance yangu imeimarika sana. Kipindi cha nyuma nilikuwa sikai muda mrefu sana ila narudiarudia ila kwa sasa naweza kukaa hata dk 30-40 hadi naona na mke wangu utii umeongezeka sana na upendo kwangu umepanda sana.

Kwakweli heshima ya baba ni paformance.

Asanteni.
 
Sema ulichojifunza kuhusu mke wako usichanganye mafaili.
 
chai
 
Wapo wanawake wanaofika kilele ndani ya dakika tano, mimi mwenyewe ni shahidi wengine nusu saa, wengine dakika 45,wengine saa moja na zaidi wanatofautiana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…