Nilichojifunza BAADA YA KUPIGWA BAN..

muoga wa jf

Senior Member
Jun 27, 2016
198
214
Habari..

Nilichojifunza baada ya BAN...

1..INAUMIZA

2..PINDI UKIPINGWA BAN AKILI YA KUANDIKA THREAD MPYABINAKUJA...

3..UNA KASIRIKA UKIONA MTU ANA POST PUMBA NA ANAPETA...

4..PM ZINAPOTEA KABISA...

5..AISEE NIMEKUJA KWA HALI MPYA COMMENT UJINGA NTAKUJIBU HIVYO
 
Nami nimetoka kifungoni kama masaa 4 hivi, mi nimezoea, napigwa sana BAN, ingawa inauma! tatizo na wengine wanapost hivyo vitu ila wanapeta! Hamna consistency!
 
Back
Top Bottom