Nilichojibiwa na Sekretariati ya Maadili kuhusu kukagua Daftari la Makonda

Tukague kwanza daftari la madeni na rasilimali la viongozi wa ACT WAZALENDO; Ukimaliza hapo ndipo uhamie upande wa serikali.

Huwezi kutoa kibanzi ktk jicho la mwenzako wakati lako lina boriti.
 
Yaani huku jf watu wote ni aidha wa Yanga au wa Simba ?!

Kwani kuna tatizo gani mwananchi kukagua hizo fomu za mhusika kama inakubalika kisheria ?!

Kama yeye kaanzia huku na ninyi nendeni kule !!

Just as simple as that !!
Nyani haoni kundule huliona la mwenzie. Hicho ndicho huyo kijana, na wewe, mnachokiona huku mkitarajia chama kishike madaraka na viongozi wasiotaka kuonesha uaminifu na uadilifu wao!!
 
Back
Top Bottom