Nilichogundua: WanaJF wengi ni maskini jeuri

Watery

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
2,720
3,456
Kuna thread apo nyuma nimetoa mda si mrefu, ila na nimegundua vitu kadhaa kutoka kwa wana JF wenzangu humu ambao wako maeneo tofauttofaut ya Tanzania

-Wengi ni Masikini Jeuri,
Inashangaza umeandika thread from nowhere mtu anakuja na kutengeneza dhumuni ya nilichoandika ili ionekane dhumuni lake ndo sahihi, mtu from nowhere anakuja kuanza kuponda mleta mada kuhusu hella wakati hujui hali ya kiuchumi ya mleta mada,
Kitendo cha mtu kuona dhumuni kuu la kile nilichoandika ni pessa basi inamaanisha dhumuni kuu la wachangiaji ni pessa, hii inamaanisha wengi huishi kila siku kwa kuona pessa kama changamoto sana kwa upande wao
Hii phenomenal pia inaaply kwann Ukiwa Mchungaji au Mkuu wa serikali au ukiunda kikundi cha maendeleo watu waanze kuhisi negative kuhusu wewe bila kuangalia madhumuni mengine makuu uliomaanisha
Sasa shida ya waliomo humu JF ni kujifanya wanaponda mleta mada na kumtoa uvivu atoe pessa kana kwamba wao wana ghala la hella
Acheni

-Wengi ni Hawajui matumizi ya hella na kinapelekea wengi kuwa maskin
Inanishangaza sana mtu anaona kutumia hella hovyohovyo ni ujanja na kuwa bahili ni jambo baya, hii inaonesha dhahili kwann africa hatuendelei
Kutumia hella vibaya sio sifa, ni ujinga,
Ndo maana mtu akipiga dili akapata kimillion hamsini chake anaanza kutamba kwa kutembea na kuishi maisha ya ki billionaire, unakuta mtu anakuwa adi na wapambe kisa million 50, baadae zinaisha anashangaashangaa na kwenda kwa waganga

Wengi wenu hamjui maisha na hamna knowledge ya kuyaishi,
Ndo maana watu kama akina made-up Kiduku Lilo wanakuja kuwadanganya jinsi matajiri wanavyoishi,
 
Jf kama umeleta mada/thread ikatokea mchngiaji wa kwanza, pili na tatu wakuponda basi na wengine wote watakaofata watakuponda, yaani kuna vichwa maji humu balaa.

Pia kuna wale wakongwe wa jf, hao hata wakiongea utumbo watu watasifia tu. Kuna ujinga mwingi sana humu.

Pia watu wengi wanaishi maisha fake sana, yaani jf kila mmoja kafika chuo kikuu, ana gari, amejenga Mbezi, yaani ni full ku-fake maisha hadi aibu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kama amejenga asiseme au abebelee nyumba ake aje nayo humu ndo muamini
 
Kuna thread apo nyuma nimetoa mda si mrefu, ila na nimegundua vitu kadhaa kutoka kwa wana JF wenzangu humu ambao wako maeneo tofauttofaut ya Tanzania

-Wengi ni Masikini Jeuri,
Inashangaza umeandika thread from nowhere mtu anakuja na kutengeneza dhumuni ya nilichoandika ili ionekane dhumuni lake ndo sahihi, mtu from nowhere anakuja kuanza kuponda mreta mada kuhusu hella wakati hujui hali ya kiuchumi ya mleta mada,
Kitendo cha mtu kuona dhumuni kuu la kile nilichoandika ni pessa basi inamaanisha dhumuni kuu la wachangiaji ni pessa, hii inamaanisha wengi huishi kila siku kwa kuona pessa kama changamoto sana kwa upande wao
Hii phenomenal pia inaaply kwann Ukiwa Mchungaji au Mkuu wa serikali au ukiunda kikundi cha maendeleo watu waanze kuhisi negative kuhusu wewe bila kuangalia madhumuni mengine makuu uliomaanisha
Sasa shida ya waliomo humu JF ni kujifanya wanaponda mleta mada na kumtoa uvivu atoe pessa kana kwamba wao wana ghala la hella
Acheni

-Wengi ni Hawajui matumizi ya hella na kinapelekea wengi kuwa maskin
Inanishangaza sana mtu anaona kutumia hella hovyohovyo ni ujanja na kuwa bahili ni jambo baya, hii inaonesha dhahili kwann africa hatuendelei
Kutumia hella vibaya sio sifa, ni ujinga,
Ndo maana mtu akipiga dili akapata kimillion hamsini chake anaanza kutamba kwa kutembea na kuishi maisha ya ki billionaire, unakuta mtu anakuwa adi na wapambe kisa million 50, baadae zinaisha anashangaashangaa na kwenda kwa waganga

Wengi wenu hamjui maisha na hamna knowledge ya kuyahishi,
Ndo maana watu kama akina made-up Kiduku Lilo wanakuja kuwadanganya jinsi matajiri wanavyoishi,
Katika maisha fanya kile ambacho kwako n sahihi kufanya ukiangalia wenzio wanafanya Nini au wanatumia pesa hovyo hovyo utaumia Sana

Kila mtu anautafutaj wake na mipango yake katika maisha yake ya dunian kwahyo usiongee Sana utaumia Sana

Pesa Ni Zaid ya maji inapopatikana lazima utumie huwez kujitesa wakat una milion kadhaaa bank
Na akuna tajiri alieanzia na ubahir kuwa tajiri na angali watu wote mabahiri utajiri wao Ni wa kishirikina

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii jf mkuu punguza jazba kila mmoja anatoa lake analofikiria usifosi watu wafanane na mawazo yako
 
Hii uzi wako ni ukweli maana jana nlikutana na mada hapa nkabak nachek mwenyew eti mtu kabsa anaanzisha mada kwanin wamiliki wa magar wanawasha AC wakat wa mvua? Kwamba ni ushamba, Hahhaa sasa yeye inamuhusu nini wakat gari ni yake ana maamuzi ya kuwasha au kuzima. JF humu wengi wetu ni maskini tena wale jeuri

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom