Nilichogundua kuhusu Arusha

Hukuelewa hiyo stand ilikuwa siku ya mwanzo observation, hata nyumba utaijua tu mara ufikapo jikoni au sebuleni, ila mambo mengine mpo vizuri, ila inaonekana idara ya mipango mji hawapo sereous, jiji ulikuwa unaingia kwa bara bara mmoja sasa hivi ndyo wamekurupuka wanajenga, kwani zile hela za Marekani za kujengea mabara bara hazikuwahusu,?
 
Ndo shida yenu watanzania,nimekua JUHA mara hii,anyway nina uzoefu kwenye tour operator kwa zaidi ya miaka 10 so kuhusu Nationa park tutakesha,na UJUHA wangu ARUSHA sio stendi ya mabasi,haiishii hapo,ARUSHA ni zaidi ya unavyohisi,kwa kuwa unaongea kwa mhemko hautahimili maelezo ya kina,wacha niamini pamoja nawe kuwa ARUSHA inaishia stendi ili niwe JUHA MKUU!
 
Unaaa akilii jombaaa
 
Tatizo hamjajua kinachohitaji pesa mingi, ni wanawake na mabia hayo yote unajuaje kama natumia?au situmii
 
labda arusha ni pabaya sana ila hata paikiwa puzuri kuna maghorofa na kila kitu wewe itakusaidia nn? Hiyo mikoa mizuri mizuri inakusaidia nn kwenye maisha yako? Maghorofa na hoteli na kila kitu vina wenyewe tafuta vyako ufanye kwako pawe pazuri.
Kuna busara ndani ya maneno yako
 
Ukishindwa hoja jaribu ujinga
 
Wakazi wa Arusha ni wabinafsi. Wana roho mbaya hata ongea yao ya kikatili katili tu mpaka wanawake...Mi nikifikaga Arusha kuna niboa sana kesho yake natamani kuondoka...Bora uishi Njombe au Songea wakazi wa huko wanaroho nzuri sana..
 
Poa ngoja tuendelee kusubiri maboresho, kila siku tunaona minyukano kwa madiwani wenu na wakuu wao wa wilaya, mikoa, mara posho, mara own source
 
Wakazi wengi wa Arusha ni masikini mafukara wa kutupwa...Watalii na wafanyakazi wa kigeni ndio wanaibeba Arusha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…