hahahahahaha sasa hapo kuna mwenye mafanikio kweli?? Young Killer hahahaha huyo si sawa na yule Dogo Janja tu..Sidhani kama huwa unafuatilia mambo, hao uliotaja wasanii Mwanza wametoka wengi tu, huwa sipendi kutaja taja majina na kusifia watu wakati hainisaidii kitu late mtoto wa Dandu, Fid, Young Killer kwa uchache tu unaweza ukaniambia wametokea wapi...?!
Kama yanafanyika mbona kodi ni dhoofu ukilinganisha na Population yenu?? Kwanini hamchangamikii fursa kuufanya uwe mji wa kibiashara kweli na si blah blah?? Au mnasubiri serikali ije iwafungulie Kariakoo yenu?? Pale Ilala wanakusanya kodi almost Billion 900.. Yaani mara 9 ya Mkoa mzima wa Mwanza. Hizo kodi nyingi hapa zinatoka pale Kariakoo na kule Posta.. Kariakoo inalisha mpaka Zimbabwe huko. Mwanza kujiongeza akili angalau mkahudumia hivyo vimikoa vilivyowazunguka huo ujanja hamna.. Sasa unajilinganishaje na Arusha?? Arusha fursa chache zilizopo za Utalii na Madini watu wanazitumia ipasavyo na wengi zinawalipa. Hotels nyingi hapa mjini zinamilikiwa na wazawa wa Arusha..Inamaana hayo uliyosema hayafanyiki huko Mwanza...?!
Mkuu bora umemjibu maana nilitaka niweke cheti changu chenye GPA(sio cha shule ya kata au diploma) pembeni alafu nimjibu kama zilivyo akili yake..Huu ubishi wengine unatuelimisha, ila post kama hii utaharibu au kuhamisha mantiki ya hii thread.
Kwani weusi wana mafanikio gani...?! Hawajafika hata mafanikio ya East coast team iliyokuwa au Gangwe mobb, hata Dudu baya wanaweza wakawa nae sawa...hahahahahaha sasa hapo kuna mwenye mafanikio kweli?? Young Killer hahahaha huyo si sawa na yule Dogo Janja tu..
Yanaenda yanapanda kila siku mji unatanuka sana, we hujiulizi miaka ya 2002 hakukuwa na barabara nzuri ni vumbi mwanzo mwisho, hata huko Dar es salaam ni nani alijenga Kariakoo...?!Kama yanafanyika mbona kodi ni dhoofu ukilinganisha na Population yenu?? Kwanini hamchangamikii fursa kuufanya uwe mji wa kibiashara kweli na si blah blah?? Au mnasubiri serikali ije iwafungulie Kariakoo yenu?? Pale Ilala wanakusanya kodi almost Billion 900.. Yaani mara 9 ya Mkoa mzima wa Mwanza. Hizo kodi nyingi hapa zinatoka pale Kariakoo na kule Posta.. Kariakoo inalisha mpaka Zimbabwe huko. Mwanza kujiongeza akili angalau mkahudumia hivyo vimikoa vilivyowazunguka huo ujanja hamna.. Sasa unajilinganishaje na Arusha?? Arusha fursa chache zilizopo za Utalii na Madini watu wanazitumia ipasavyo na wengi zinawalipa. Hotels nyingi hapa mjini zinamilikiwa na wazawa wa Arusha..
Weusi ndio Hip Hop ya Tanzania sasa mpaka huyo Fid Q anabaki kulialia na tuzo hatopata mpaka Weusi wafe..Kwani weusi wana mafanikio gani...?! Hawajafika hata mafanikio ya East coast team iliyokuwa au Gangwe mobb, hata Dudu baya wanaweza wakawa nae sawa...
Usiongope wewe, hotel nyingi zinamilikiwa na wazawa wa ARUSHA? Hapo yamejaa majamaa ya Kilimanjaro ndiyo yenye hotel, mfano kibo palace ni ya mramba mfungwa, nyingi za watu wa Kilimanjaro. Mapato ya JIJI la ARUSHA hayawezi yakafikia mapato ya JIJI la Mwanza. Hivyo hivyo JIJI la Mwanza ni la pili baada ya Dar na mapato ya JIJI yanafuata Kwa mbali baada ya Dar.Kama yanafanyika mbona kodi ni dhoofu ukilinganisha na Population yenu?? Kwanini hamchangamikii fursa kuufanya uwe mji wa kibiashara kweli na si blah blah?? Au mnasubiri serikali ije iwafungulie Kariakoo yenu?? Pale Ilala wanakusanya kodi almost Billion 900.. Yaani mara 9 ya Mkoa mzima wa Mwanza. Hizo kodi nyingi hapa zinatoka pale Kariakoo na kule Posta.. Kariakoo inalisha mpaka Zimbabwe huko. Mwanza kujiongeza akili angalau mkahudumia hivyo vimikoa vilivyowazunguka huo ujanja hamna.. Sasa unajilinganishaje na Arusha?? Arusha fursa chache zilizopo za Utalii na Madini watu wanazitumia ipasavyo na wengi zinawalipa. Hotels nyingi hapa mjini zinamilikiwa na wazawa wa Arusha..
Jiji la pili kwa blah blah zako tu... Moshi kamwe haiwezi kuwa Jiji sababu hakuna mchagga atatoa ardhi yake bure eti ili mji upate heshima ya jiji.. Hell no, na kama watatoa hizo pesa za serikali kufidia wala hawatakuwa nazo...Yanaenda yanapanda kila siku mji unatanuka sana, we hujiulizi miaka ya 2002 hakukuwa na barabara nzuri ni vumbi mwanzo mwisho, hata huko Dar es salaam ni nani alijenga Kariakoo...?!
we unadhani soko lile la samaki pale Mwanza wamejenga watu binafsi...?! Serikali ndio huwa inachangia maendeleo, hakuna mzawa au mtu binafsi anaweza akajenga mfano barabara hii ya Sakina Tengeru...
Mfano kipindi cha Mkapa awamu ya pili, mji ukaanza kujengwa licha ya kuwa na population kubwa lakini hakuna kilichokuwa kimefanyika...
Sasa mbona inashindana na huku mnapodai paliendelea toka muda mrefu...?! Hauoni kwa speed hiyo ya ukuaji wa mji baada ya miaka kadhaa itakuwa mbali sana...
Maana siku hizi watu wengi wamesoma hakuna ile jamii fulani haijasoma, kipindi cha Mkapa Mwanza ilikuwa ni jiji, Arusha na wenzake zimekuwa jiji kipindi cha Kikwete...
Pamoja na hayo yote bado ni jiji la pili...
Ilala inakusanya Billion 900... Mwanza inakusanya Billion 131... hahahahaha kweli naona mnawafata kwa mbaliiiUsiongope wewe, hotel nyingi zinamilikiwa na wazawa wa ARUSHA? Hapo yamejaa majamaa ya Kilimanjaro ndiyo yenye hotel, mfano kibo palace ni ya mramba mfungwa, nyingi za watu wa Kilimanjaro. Mapato ya JIJI la ARUSHA hayawezi yakafikia mapato ya JIJI la Mwanza. Hivyo hivyo JIJI la Mwanza ni la pili baada ya Dar na mapato ya JIJI yanafuata Kwa mbali baada ya Dar.
Hiyo taarifa yako siyo sahihi iliwahi tolewa na gazeti liliwahi pigwa pini la mwanahalisi, soma taarifa kutoka right source TRA, AU MKURUGENJI WA JIJI NA WA MUNICIPAL ILEMELA MAANA HAO WANAJITEGEMEA JIJI NA MUNICIPAL YA ILEMELA.Ilala inakusanya Billion 900... Mwanza inakusanya Billion 131... hahahahaha kweli naona mnawafata kwa mbaliii
Aisee yapo wapi hayo...?! Uzuri pote huko ni mwenyeji haswa Arusha na Mwanza ndio nimekaa zaidi... Dar es salaam nimekaa sana pia...Weusi ndio Hip Hop ya Tanzania sasa mpaka huyo Fid Q anabaki kulialia na tuzo hatopata mpaka Weusi wafe..
Tuachane na huyo Boss... Nilikwambia Kilimanjaro ina biashara, maduka mengi kuliko Mwanza ukanibishia.. Sasa muda si mrefu nakudondoshea data kutoka NBS ili uzidi kujificha huko kisongo uliko hahahahahha
Unataka kuniambia Kilimanjaro imeizidi Arusha na Dar es salaam pia, hebu Angalia hapo kwenye A maana nimeangalia hapo...Ukiangalia hizi Data linganisha tu Mwanza na Kilimanjaro... Arusha iache utaona Mwanza imetupwa na Kilimanjaro karibia katika kila sekta... Hizi ni tafiti za National Board of Statistics (NBS) na si blah blah...
Naomba taratibu fuatilia Mwanza na Kilimanjaro leave alone Arusha.. Utapata majibu kwanini Mwanza ni wapiga kelele na si chochote.. Kwa mfano angalia hapo herufi A kule kwenye glossary watakwambia maana yake ni Agriculture, Forestry and Fishing ambapo Kilimanjaro ina 14 wakati Mwanza ina 7... Ukiangalia tena herufi G ina maana ya Wholesale and Retail trade wakati Kilimanjaro ina 1,252 Mwanza wao wana 928.. Pia herufi C ni Manufacturing wakati Kilimanjaro ina 1,829 Mwanza wao wana 1,639.. Ukienda pia herufi Q ni Human Health and social work activities Kilimanjaro ina 279 wakati Mwanza ina 98.. Vipengele vingine pia ni hivyo hivyo Kilimanjaro imeitangulia Mwanza almost karibu kila kitu... Hizi ni tafiti sio blah blahView attachment 406612 View attachment 406613 View attachment 406615 View attachment 406614
Taarifa si sahihi wakati imetolewa kwenye page ya TRA kwenye makusanyo ya kila mkoa.. Acha blah blah usitake tukuwekee mpaka link hapaHiyo taarifa yako siyo sahihi iliwahi tolewa na gazeti liliwahi pigwa pini la mwanahalisi, soma taarifa kutoka right source TRA, AU MKURUGENJI WA JIJI NA WA MUNICIPAL ILEMELA MAANA HAO WANAJITEGEMEA JIJI NA MUNICIPAL YA ILEMELA.
Oooohh yes kwenye Agriculture, Forestry and Fishing Kilimanjaro imeizidi Arusha na Dar.. Au wewe unapinga..Unataka kuniambia Kilimanjaro imeizidi Arusha na Dar es salaam pia, hebu Angalia hapo kwenye A maana nimeangalia hapo...
Na hizo namba zina maana gani...?!
Weka link ngoshaTaarifa si sahihi wakati imetolewa kwenye page ya TRA kwenye makusanyo ya kila mkoa.. Acha blah blah usitake tukuwekee mpaka link hapa