TBL ni mfano maridhiwa niliouongea huko juu kwamba sehemu yenye kuzungukwa na population ya 10 Million people lazima kuwe na Investments za kulisha hiyo population.TBL ya Mwanza ni kubwa zaidi kuliko Arusha, Mwanza kuna SBL pia, Mwanza kuna clubs zaidi ya Arusha...
Hivi pale Mwanza kuna Msukuma anayemfikia Baba Nancy kwa utajiri?Hebu naomba unitajie hao matajiri wa kutoka Kaskazini...
Kuhusu kuvamia maeneo ya estates za Meru yale maeneo yana mgogoro kabla hata tanzania haijapata uhuru kumbuka hayo maeneo ya Meru yalifanya mpaka wameru wakafungua kesi ya kudai maeneo yao Uingereza kwenye Queen's bench wakati Wa ukoloni na unaelewa ni namna gani hayo maeneo yanavutia.Sasa kama Arusha kuna ardhi ya kutosha kwanini barabara za mitaani ni tu dogo sana...?! Yaani ni twembamba, gari kubwa mbili kupishana ni issue...
Halafu kitu kingine kwanini wananchi wanavamia mashamba ya wawekezaji mfano Meru kule ilhali ardhi ipo ya kutosha tu...?!
Sasa ndio uone aggressiveness ya watu wa Kaskazini.. Pamoja na kwamba wao wana vibanda vya kuishi lakini bado wa nataka maeneo ili walime. Ingekuwa ni Dodoma au huko Mwanza wala wasingedai hiyo ardhi. Ndio maana wanaishi milimani kwenye mawe sehemu ambayo nyoka ndio wangetakiwa kuishi lakini wala hawahoji loloteSasa kama Arusha kuna ardhi ya kutosha kwanini barabara za mitaani ni tu dogo sana...?! Yaani ni twembamba, gari kubwa mbili kupishana ni issue...
Halafu kitu kingine kwanini wananchi wanavamia mashamba ya wawekezaji mfano Meru kule ilhali ardhi ipo ya kutosha tu...?!
Baba Nancy kwanza ndio nani...?! Mara nyingi huwa sipendi kujivunia na mali za wengine ambazo hazinisaidii kitu wakati naendelea kuishi katikati ya slums..Hivi pale Mwanza kuna Msukuma anayemfikia Baba Nancy kwa utajiri?
Sasa hilo swali lako uliulizia la nini wewe bwana ardhi??Baba Nancy kwanza ndio nani...?! Mara nyingi huwa sipendi kujivunia na mali za wengine ambazo hazinisaidii kitu wakati naendelea kuishi katikati ya slums..
Huku nikibishana na watu fulani ana hela naona ujinga tu...
Kila kabila kuna watu wana hela, lakini huwa sifanyi ulinganifu, kuna Wasukuma wana hela pia mfano yule mbunge wa Kahama...
Kuna yule jamaa mwenye kashfa rafiki yake na Kitwanga...
Halafu mbona huwa unapenda sana kuonyesha u superiority ambao haupo, unaposema watu wa kaskazini ndio wapi hao...?!Sasa ndio uone aggressiveness ya watu wa Kaskazini.. Pamoja na kwamba wao wana vibanda vya kuishi lakini bado wa nataka maeneo ili walime. Ingekuwa ni Dodoma au huko Mwanza wala wasingedai hiyo ardhi. Ndio maana wanaishi milimani kwenye mawe sehemu ambayo nyoka ndio wangetakiwa kuishi lakini wala hawahoji lolote
North Empire ina include kabila zote hizo.. Unauliza ni Kilimo gani wanafanya?? Ile National Milling pale Unga isingekuwepo kama kusingekuwa na kilimo.. Umesikia bwana ardhi hahahahahaHalafu mbona huwa unapenda sana kuonyesha u superiority ambao haupo, unaposema watu wa kaskazini ndio wapi hao...?!
je ni hawa Wamasai ninaowaona ndio unawapa sifa hizo, je ni hawa Wa Meru...?! Je ni Wachaga...?! Au ni wale Wa Iraqw...?!
je ni kilimo gani kinafanyika huku...?! Na hao wazawa, au unaongelea estates za wale wazungu kama kule KIMEMO, au labda migomba ndio kilimo chenyewe...?!
halafu kitu kingine wewe unataka watu wasiishi kwenye mawe wakaishi wapi...?! Kama hayo ndio mazingira, kule Arusha National park, snake farm kuna nyoka, je mbona hakuna mawe huko...?!
Fee kubwa kwenye utalii kuendana na aina ya mbuga na aina ya utalii ni kweli Serengeti tariffs zake zipo juu lakini inaendana na aina ya service.FisadiKuu hebu nipe elimu ya kodi, inamaana unataka kuniambia watu kama kina Otorong'ong'o wanatoa sana kodi ama...?!
au ni je ni shughuli zilizopo eneo husika ndio zinachangia sana kodi...?! Mfano kule Temeke kuna bandari, je sio kwamba bandari na shughuli zake zina boost kodi ya hiyo Wilaya...
Mara nyingi huwa unasema Arusha kuna viwanda vingi, je sio kwamba hizo shughuli zinachangia kodi sana, je Arusha kuna HQ ngapi kulinganisha na Mwanza...?!
je kuna vyuo vingapi...?! Je nikipita katika geti la Ndabaka, nikapewa ile fomu ya TANAPA je yale malipo yanahesabiwa Wilaya ya Bunda Mkoa wa Mara au wapi...?!
au nikipita kule Nyamuswa nikaonganisha mpaka kule geti la Serengeti, je yale malipo yanahesabiwa ni Wilaya ya Serengeti Mara au wapi...?!
au nikirudi kwa Temeke, nikilipa kodi kule bandarini, halafu sikai huko, je itahesabika watu wa Temeke ni mabingwa wa kulipa kodi sana...?!
Eti bandari iko temeke hahahahhaa...Fee kubwa kwenye utalii kuendana na aina ya mbuga na aina ya utalii ni kweli Serengeti tariffs zake zipo juu lakini inaendana na aina ya service.
Services zenye kodi kubwa ni filming, landing, gaming, camping, fishing na baadhi selectively lakini hii popular ya guiding ni dollar 20 tu inayolipwa hapo getini.
Mapato hayo yanenda serikalini one way ni tofauti na Arusha ambayo ndio headquarter ya all expeditions malazi usafiri chakula na shopping zote wanafaanyia Arusha na pesa yote ya kutalii huko Serengeti wanailipia Arusha except entrance fee.
Kumbe kodi ya Bandari inakusanya na TRA Temeke???FisadiKuu hebu nipe elimu ya kodi, inamaana unataka kuniambia watu kama kina Otorong'ong'o wanatoa sana kodi ama...?!
au ni je ni shughuli zilizopo eneo husika ndio zinachangia sana kodi...?! Mfano kule Temeke kuna bandari, je sio kwamba bandari na shughuli zake zina boost kodi ya hiyo Wilaya...
Mara nyingi huwa unasema Arusha kuna viwanda vingi, je sio kwamba hizo shughuli zinachangia kodi sana, je Arusha kuna HQ ngapi kulinganisha na Mwanza...?!
je kuna vyuo vingapi...?! Je nikipita katika geti la Ndabaka, nikapewa ile fomu ya TANAPA je yale malipo yanahesabiwa Wilaya ya Bunda Mkoa wa Mara au wapi...?!
au nikipita kule Nyamuswa nikaonganisha mpaka kule geti la Serengeti, je yale malipo yanahesabiwa ni Wilaya ya Serengeti Mara au wapi...?!
au nikirudi kwa Temeke, nikilipa kodi kule bandarini, halafu sikai huko, je itahesabika watu wa Temeke ni mabingwa wa kulipa kodi sana...?!
Nani anaongoza hiyo North Empire...?! Na Empire zingine ni zipi...?!North Empire ina include kabila zote hizo.. Unauliza ni Kilimo gani wanafanya?? Ile National Milling pale Unga isingekuwepo kama kusingekuwa na kilimo.. Umesikia bwana ardhi hahahahaha
Na gati za meli zitakua chang'ombe au mbagala. ππππEti bandari iko temeke hahahahhaa...
Mkuu RRONDO hivi bandari iko TMK au Ilala?? Naomba msaada wako hapa..
Umesema pesa yote ya kutalii wanailipia Arusha, je hiyo pesa ikilimwa kodi, je ni Manyara kama utalii unafanyika huko ndio itaonekana imechangia au ni Arusha...?! Au je Ni Serengeti ama ni Arusha ndio itakuwa imechangia..?! Hiyo kodi inaonekana wapi...?!Fee kubwa kwenye utalii kuendana na aina ya mbuga na aina ya utalii ni kweli Serengeti tariffs zake zipo juu lakini inaendana na aina ya service.
Services zenye kodi kubwa ni filming, landing, gaming, camping, fishing na baadhi selectively lakini hii popular ya guiding ni dollar 20 tu inayolipwa hapo getini.
Mapato hayo yanenda serikalini one way ni tofauti na Arusha ambayo ndio headquarter ya all expeditions malazi usafiri chakula na shopping zote wanafaanyia Arusha na pesa yote ya kutalii huko Serengeti wanailipia Arusha except entrance fee.
Ni TRA Ilala, niliongelea gate za kule Kurasini...Kumbe kodi ya Bandari inakusanya na TRA Temeke???
Inaongozwa na Chadema.. Una lingine??Nani anaongoza hiyo North Empire...?! Na Empire zingine ni zipi...?!
Hahahahahaha aibu sana hiiNa gati za meli zitakua chang'ombe au mbagala. ππππ
We unadhani zile gate za Kurasini zipo Wilaya gani...?!Eti bandari iko temeke hahahahhaa...
Mkuu RRONDO hivi bandari iko TMK au Ilala?? Naomba msaada wako hapa..