Hilo lifanye weweee si umeamua kukimbilia kwenye kodi baada ya kuona hapo mjin Hamna kitu...hata tukienda kwenye picha utakimbilia kusnap shot lodge za porini....kama we kidume baki mjini hapo...na vihotel vyenuAisee mbona unajiaibisha which is collective kati ya city na region inayoweza kulupa big picture kati ya city na region?
City is within a region sasa ukisema nikupe data za mwanza city ni kitu kirahisi sana wewe chukua jumla ya mapato yote ya region toa kwa jumla ya mapato yote ya zile wilaya ambazo hazitengenezi mwanza city.
Yaani baki na mapato ya ilemela na nyamagana tu uone utakavyozidi kuwa skeletonized.
Wewe ni mbulula wa kutupwa in square kilometres na square miles kwa ukubwa ikitoka Mwanza inakuja Arusha una Habari??Sasa mkuu haya maziwa yapo hapo arusha mjini..mbna hamjiamin na mji wenu nyie viazi....hebu baki mjini usitoke hata kuchungulia hata mbugan tuone
Duh!Hilo lifanye weweee si umeamua kukimbilia kwenye kodi baada ya kuona hapo mjin Hamna kitu...hata tukienda kwenye picha utakimbilia kusnap shot lodge za porini....kama we kidume baki mjini hapo...na vihotel vyenu
Hzo kodi za hapo mjini tuu we pimbi...? Rudi tupambanishe miji sio unakimbilia kodi ambayo hata rungwe ipo juu...mbio za magar wanaangalia sehemu yalipo mapori kama huko arusha porini mana hamna kitu.....mwaka Jana zilifanyika Chuga, mwaka juzi zilifanyika morogoro, miaka mingine zilifanyika huko pwani...hata dar hazikufanyika....wakat mwngne na mosh. Sasa huku miliman utafanya mbio za magari wapi we kiroboto....kama huko hakuna beach y unapondea hali ya hewa ya mwanza wakat ni kitu natural....unaweza ukawa na club nying but hakuna kitu....hapo Chuga kuna club gan famous ya kuzidi hata jembe ni jembe...club D ya gharama kubwa lakini utumbo mtupu hata TECNO hawez kwenda kuleNo burudani kivipi? Hahahaha Mwanza ina Clubs nyingi kuliko Arusha?? No beaches kwani huku kuna bahari au ziwa mpaka useme hivyo?? Kama hakuna burudani uliza TBL ni wapi wanauza sana Bia kati ya Mwanza na Arusha..
Very Narrow City inakusanya kodi mara 3 yako.. Na kama burudani huku tuna mpaka mbio za magari wakati huko mna Baiskeli tu..
Huyu namfahamu ni mnywa gongo wa mabatini Mkuu.Iringa inakusanya 51 Billion wakati Mwanza inakusanya 131 Billion sasa hapo Iringa imeipitaje Mwanza?? Au kusoma hujui? Au viroba kijana
Kwa kigezo cha umasikini uliopindukia Mwanza huna ubavu wa kujifananisha na Geneva of Africa [emoji817] [emoji818]Hzo kodi za hapo mjini tuu we pimbi...? Rudi tupambanishe miji sio unakimbilia kodi ambayo hata rungwe ipo juu...mbio za magar wanaangalia sehemu yalipo mapori kama huko arusha porini mana hamna kitu.....mwaka Jana zilifanyika Chuga, mwaka juzi zilifanyika morogoro, miaka mingine zilifanyika huko pwani...hata dar hazikufanyika....wakat mwngne na mosh. Sasa huku miliman utafanya mbio za magari wapi we kiroboto....kama huko hakuna beach y unapondea hali ya hewa ya mwanza wakat ni kitu natural....unaweza ukawa na club nying but hakuna kitu....hapo Chuga kuna club gan famous ya kuzidi hata jembe ni jembe...club D ya gharama kubwa lakini utumbo mtupu hata TECNO hawez kwenda kule
Nin sasa ulichoandika? Umenielewa lakini au umekunywa vodka?Wewe ni mbulula wa kutupwa in square kilometres na square miles kwa ukubwa ikitoka Mwanza inakuja Arusha una Habari??
13 Kagera 39,627 15,300
14 Mwanza 35,187 13,586
15 Arusha 34,516 13,327
16 Pwani 32,407 12,512
17 Mara 31,150 11,641
18 Tanga 27,348 10,351
Kwa ukubwa Mwanza ya 14 Arusha 15 in square kilometers na miles.
Hujitambui na wewe ni myopia.
Huna point bora ukalale........!!!!Kwa kigezo cha umasikini uliopindukia Mwanza huna ubavu wa kujifananisha na Geneva of Africa [emoji817] [emoji818]
Saivi mnatakiwa mfocus kwenye kujikwamua na umasikini uliokithiri [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ok nimekuelewa we kiazi....sehemu ya iringa paste kilimanjaroIringa inakusanya 51 Billion wakati Mwanza inakusanya 131 Billion sasa hapo Iringa imeipitaje Mwanza?? Au kusoma hujui? Au viroba kijana
Asante kwa facts kama ulivyosema[emoji122] [emoji122]Wewe ni mbulula wa kutupwa in square kilometres na square miles kwa ukubwa ikitoka Mwanza inakuja Arusha una Habari??
13 Kagera 39,627 15,300
14 Mwanza 35,187 13,586
15 Arusha 34,516 13,327
16 Pwani 32,407 12,512
17 Mara 31,150 11,641
18 Tanga 27,348 10,351
Kwa ukubwa Mwanza ya 14 Arusha 15 in square kilometers na miles.
Hujitambui na wewe ni myopia.
We si ni PHD holder...but umejaa viroba mpak kwenye kisogoHuyu namfahamu ni mnywa gongo wa mabatini Mkuu.
Funguka point yako mbna unazunguka mbuyu....usiwe kama una traumatic problem....hit to the point bhanaAsante kwa facts kama ulivyosema[emoji122] [emoji122]
Hapo ni approximately Mwanza na Arusha zipo sawa hapo kwenye square kilometers Mwanza imeipita Arusha kwa kilometers hazizidi elfu 1 kwenye square miles hazizidi hata 100.
Ambapo haziwezi hata kutengeneza wilaya moja.
Kama usngzi umekuzid bora ukalale...maana inaonekana unabofya tu keyboard bila mpangilioAsante kwa facts kama ulivyosema[emoji122] [emoji122]
Hapo ni approximately Mwanza na Arusha zipo sawa hapo kwenye square kilometers Mwanza imeipita Arusha kwa kilometers hazizidi elfu 1 kwenye square miles hazizidi hata 100.
Ambapo haziwezi hata kutengeneza wilaya moja.
Kijana huijui Tanzania na labda ni mtoto uliyemaliza chuo mwaka jana au mwaka huu... Pugu zinakofanyikaga kila mara ni Pwani au Arusha??Hzo kodi za hapo mjini tuu we pimbi...? Rudi tupambanishe miji sio unakimbilia kodi ambayo hata rungwe ipo juu...mbio za magar wanaangalia sehemu yalipo mapori kama huko arusha porini mana hamna kitu.....mwaka Jana zilifanyika Chuga, mwaka juzi zilifanyika morogoro, miaka mingine zilifanyika huko pwani...hata dar hazikufanyika....wakat mwngne na mosh. Sasa huku miliman utafanya mbio za magari wapi we kiroboto....kama huko hakuna beach y unapondea hali ya hewa ya mwanza wakat ni kitu natural....unaweza ukawa na club nying but hakuna kitu....hapo Chuga kuna club gan famous ya kuzidi hata jembe ni jembe...club D ya gharama kubwa lakini utumbo mtupu hata TECNO hawez kwenda kule
Mkuu ni kwamba Mwanza na Arusha ni mikoa inayolingana kwa ukubwa 99.9% hawana hoja ya kusema kwamba kamkoa ka Arusha ni kadogo tupo sawa kabisa kwa ukubwa ila population wao wamezidi lakini haijawasaidia kuleta maendeleo yoyote ukilinganisha na Arusha yenye population ndogo lakini maendeleo ni makubwa sana.Asante kwa facts kama ulivyosema[emoji122] [emoji122]
Hapo ni approximately Mwanza na Arusha zipo sawa hapo kwenye square kilometers Mwanza imeipita Arusha kwa kilometers hazizidi elfu 1 kwenye square miles hazizidi hata 100.
Ambapo haziwezi hata kutengeneza wilaya moja.
Shule ni muhimu sana mkuu... Mfano Jiji la Dar Ilala ndiyo inakusanya kodi kubwa sana ikifuatiwa na Kinondoni. Lakini ukiangalia hata kule Temeke wanakokaa maskini Ilala na Kinondoni kumewapiga tafu mpaka nao wanakusanya Billion 200 kwa mwaka. Mwanza wao ukiwaambia kodi wanakimbilia kujitetea eti ongelea Jiji. Hata tukifanya hizo Billion 131 zote zinatolewa na Jiji la Mwanza alafu Arusha Jiji likawa linatoa 1/2 tu ya kodi ya Mkoa bado Mwanza haitafikia Arusha.Kwa kigezo cha umasikini uliopindukia Mwanza huna ubavu wa kujifananisha na Geneva of Africa [emoji817] [emoji818]
Saivi mnatakiwa mfocus kwenye kujikwamua na umasikini uliokithiri [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Utaendelea kutukana mpaka utanyooka tu. Hata Kilimanjaro hamuifikii.. Maendeleo hayapimwi kwa blah blah bali mzunguko wa pesa na ukusanyaji wa kodi.. Ndio maana leo hii vijiji vya Kilimanjaro vina infrastructure zote na huduma zote muhimu kuanzia zahanati, barabara za rami, shule za msingi na sekondari, umeme na maji... Kule kwetu Machame kuna mpaka Supermarket, Car Wash, Filling Stations, Hotels, Benki ya CRDB.. Je, huko Mwanza vijijini hizo huduma zipo??Ok nimekuelewa we kiazi....sehemu ya iringa paste kilimanjaro
Hapo umehit Mwanza ni lifestyle ya kiporini wanaamini huwezi kufanikiwa mpaka upige ndumba na pia hawana uthubutu Mwanza wameishika wa mikoa ya Mara, Kaskazini lakini wenye mji wapo mbali huu ndio ukweli mchungu.Shule ni muhimu sana mkuu... Mfano Jiji la Dar Ilala ndiyo inakusanya kodi kubwa sana ikifuatiwa na Kinondoni. Lakini ukiangalia hata kule Temeke wanakokaa maskini Ilala na Kinondoni kumewapiga tafu mpaka nao wanakusanya Billion 200 kwa mwaka. Mwanza wao ukiwaambia kodi wanakimbilia kujitetea eti ongelea Jiji. Hata tukifanya hizo Billion 131 zote zinatolewa na Jiji la Mwanza alafu Arusha Jiji likawa linatoa 1/2 tu ya kodi ya Mkoa bado Mwanza haitafikia Arusha.
Tatizo la Mwanza ni kwamba wakazi wake wengi wameshikilia imani za kishirikina na ujinga... Hivi Tanzania hii kuna mfanyabiashara yeyote maarufu wa kisukuma??
Matajiri pale Mwanza ni wakurya na watu kutoka Kaskazini... Wasukuma wamebaki kuchunga ng'ombe na kuishi milimani kama kunguniHapo umehit Mwanza ni lifestyle ya kiporini wanaamini huwezi kufanikiwa mpaka upige ndumba na pia hawana uthubutu Mwanza wameishika wa mikoa ya Mara, Kaskazini lakini wenye mji wapo mbali huu ndio ukweli mchungu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wanauza tu viwanja na wachagga wanavinunua kama hawana akili nzuri.Matajiri pale Mwanza ni wakurya na watu kutoka Kaskazini... Wasukuma wamebaki kuchunga ng'ombe na kuishi milimani kama kunguni