chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,316
- 45,125
In case umesahau my today's motto.....Zunguka kote na hzo data zako lakini uelewe kuwa arusha haina msuli mzito wa kuikabili mwanza city..kama ni kodi endeleeni kutoa kwa uaminifu
Awali wakati naisikia Mwanza nilifikiri bonge la jiji lakini nilivyofika sikuamini ukilinganisha na Arusha Mwanza wametuzidi watu tu lakini wa hali bora ya maisha tumewatupa mbali sana.Jiji lenyewe halina lolote ni upuuzi tu..
Vigezo?Awali wakati naisikia Mwanza nilifikiri bonge la jiji lakini nilivyofika sikuamini ukilinganisha na Arusha Mwanza wametuzidi watu tu lakini wa hali bora ya maisha tumewatupa mbali sana.
Hahahaha alafu kwa kujitetea wanasema eti tunalinganisha jiji na si mkoa. Hawajui almost 90% ya kodi huwa inatoka makao makuu ya mkoa. Hivi kama Kilimanjaro unafikiri kodi kubwa inatoka wapi kama si Moshi mjini?? Ukitaka uone miji inayokuwa kwa kasi kwenye hizo tax collections inajiprove kabisa ukilinganisha makusanyo ya 2014/15 na 2015/16... Angalia Mtwara na Dodoma utaona..Awali wakati naisikia Mwanza nilifikiri bonge la jiji lakini nilivyofika sikuamini ukilinganisha na Arusha Mwanza wametuzidi watu tu lakini wa hali bora ya maisha tumewatupa mbali sana.
Okey leta takwimu za cities....In case umesahau my today's motto.....
Leo nimeamka na facts tu sitaki malumbano ya kipopoma leo natembeza bakora ya kwenye makarabrasha kisomi zaidi na sitaki back fire ya kimbulula ya maneno ya vijiweni nmake sure unapingana na facts kwa facts................ Nadhani nimeeleweka.
Nimekupa fact
>tumewapiga gap la vitanda 1900
>moja ya mkoa masikini zaidi Tanzania
>tumewapiga gap kwa tax collection 60%
Case done.
Bado unazunguka mulemule....leta takwimu za cities.....mji wa mwanza umejengwa na wagen and not native peoples...thus y ukicompare kwa takwimu za mkoa unalag behind cse utajumulisha na wakaz wote wa mkoa ambao weng wao na fukara...hvyo huwez sema jiji linazidiwa na mosh, ujiji, mtwara au iringa.......Hahahaha alafu kwa kujitetea wanasema eti tunalinganisha jiji na si mkoa. Hawajui almost 90% ya kodi huwa inatoka makao makuu ya mkoa. Hivi kama Kilimanjaro unafikiri kodi kubwa inatoka wapi kama si Moshi mjini?? Ukitaka uone miji inayokuwa kwa kasi kwenye hizo tax collections inajiprove kabisa ukilinganisha makusanyo ya 2014/15 na 2015/16... Angalia Mtwara na Dodoma utaona..
Anasahau ni kitu gani kinafanya sehemu iitwe HalmashauriHahahaha alafu kwa kujitetea wanasema eti tunalinganisha jiji na si mkoa. Hawajui almost 90% ya kodi huwa inatoka makao makuu ya mkoa. Hivi kama Kilimanjaro unafikiri kodi kubwa inatoka wapi kama si Moshi mjini?? Ukitaka uone miji inayokuwa kwa kasi kwenye hizo tax collections inajiprove kabisa ukilinganisha makusanyo ya 2014/15 na 2015/16... Angalia Mtwara na Dodoma utaona..
Acha uhuni na longo longo kijana.. Unavyosema Cities unafikiri kodi ya Arusha inatoa Arumeru??Bado unazunguka mulemule....leta takwimu za cities.....mji wa mwanza umejengwa na wagen and not native peoples...thus y ukicompare kwa takwimu za mkoa unalag behind unakuwa nyuma kwa umaskini
Huyo jamaa ni either hajui anachobisha au ameamua kubisha.. Kwamfano Arusha HQ zote za kampuni za Tours ni Arusha Mjini, Wafanyabiashara wote wa Madini ofisi zao na makao yao ni Arusha Mjini.. Ndio maana Arusha Mjini ikapewa Jiji na si Arumeru.. Sasa huyo hajui kwamba Mwanza ndiyo ilitakiwa iibebe hizo wilaya za pembezoni kama vile Arusha inavyobeba Ngorongoro Monduli..Anasahau ni kitu gani kinafanya sehemu iitwe Halmashaurimakao makuu ya wilayamanispaamjijiji.
Angejua vigezo vinavyotumika asingeweza kui exclude wilaya za pembezoni (Mwanza mkoa) in development partnership.
No burudani kivipi? Hahahaha Mwanza ina Clubs nyingi kuliko Arusha?? No beaches kwani huku kuna bahari au ziwa mpaka useme hivyo?? Kama hakuna burudani uliza TBL ni wapi wanauza sana Bia kati ya Mwanza na Arusha..Kila kitu kilichopo chuga na mwanza kipo but si kila kitu kilichopo mwnza na Chuga kipo....Chuga no burudani, road access ni terrible, no beaches, very poor bus terminal, no public recreation, very narrow city.....n.k
Aisee mbona unajiaibisha which is collective kati ya city na region inayoweza kulupa big picture kati ya city na region?Okey leta takwimu za cities....
Hehehe kumbe tunapoteza muda na mtu asiye hata na lepe la uelewa.. Hajui kwamba City ndiyo ilitakiwa kuubeba mkoaAisee mbona unajiaibisha which is collective kati ya city na region inayoweza kulupa big picture kati ya city na region?
City is within a region sasa ukisema nikupe data za mwanza city ni kitu kirahisi sana wewe chukua jumla ya mapato yote ya region toa kwa jumla ya mapato yote ya zile wilaya ambazo hazitengenezi mwanza city.
Yaani baki na mapato ya ilemela na nyamagana tu uone utakavyozidi kuwa skeletonized.
Mwanza ni ziwa kubwa kumbuka nimesema "ziwa kubwa" sio ziwa.Kila kitu kilichopo chuga na mwanza kipo but si kila kitu kilichopo mwnza na Chuga kipo....Chuga no burudani, road access ni terrible, no beaches, very poor bus terminal, no public recreation, very narrow city.....n.k
Shida yako upo fixed sana....kwa mjibu wa takwimu hzo...nimekuuliza kuwa mkoa wa iringa upo juu kwa ukusanyaji wa mapato kuliko mwanza...je mji wa iringa upo juu ya mji wa mwanza? Nikakuuliza tena mkoa wa kilimanjaro upo juu dhidi ya mbeya je mji wa mosh upo juu ya jiji la mbeya? Umekaa kimburura sana na unatumia gia ya kodi kujustify kwamba jiji la mwanza si lolote kwa jiji la arusha kitu ambacho ni nonsense....think big na huo utumbo wako....kuna wakati wilaya ya mfindi ilikuwa juu kwa mapato kuzidi hata wilaya ya arusha...but collectively mkoa wa iringa ulikuwa nyuma ya mkoa wa arusha kwa mapato...!!! Ila wewe hujaliona hili umekomaa na mapato kwa njia ya kodi kama ndiyo gaining pointAcha uhuni na longo longo kijana.. Unavyosema Cities unafikiri kodi ya Arusha inatoa Arumeru??
Mfano mwingine nimekupa, Kilimanjaro almost 90% ya kodi inatoka pale Moshi Mjini. Wilaya inayofatia kwa makusanyo ni Hai.. Huko Mwanga na Same hakuna kitu..
Aisee jamaa yupo shallow kama mnyonyo wa olkokola ππππHehehe kumbe tunapoteza muda na mtu asiye hata na lepe la uelewa.. Hajui kwamba City ndiyo ilitakiwa kuubeba mkoa
Sasa mkuu haya maziwa yapo hapo arusha mjini..mbna hamjiamin na mji wenu nyie viazi....hebu baki mjini usitoke hata kuchungulia hata mbugan tuoneMwanza ni ziwa kubwa kumbuka nimesema "ziwa kubwa" sio ziwa.
Sababu hats Arusha tuna maziwa madogo ya kutosha kama lake natron na lake duluti.
Lake Natron
Lake Duluti
Shida yako upo fixed sana....kwa mjibu wa takwimu hzo...nimekuuliza kuwa mkoa wa iringa upo juu kwa ukusanyaji wa mapato kuliko mwanza...je mji wa iringa upo juu ya mji wa mwanza? Nikakuuliza tena mkoa wa kilimanjaro upo juu dhidi ya mbeya je mji wa mosh upo juu ya jiji la mbeya? Umekaa kimburura sana na unatumia gia ya kodi kujustify kwamba jiji la mwanza si lolote kwa jiji la arusha kitu ambacho ni nonsense....think big na huo utumbo wako....kuna wakati wilaya ya mfindi ilikuwa juu kwa mapato kuzidi hata wilaya ya arusha...but collectively mkoa wa iringa ulikuwa nyuma ya mkoa wa arusha kwa mapato...!!! Ila wewe hujaliona hili umekomaa na mapato kwa njia ya kodi kama ndiyo gaining point
Ni wapi Iringa imeonyeshwa inakusanya kodi kuliko Mwanza?? Ebu kwanza nitajie Iringa inakusanya ngapi na Mwanza ngapiShida yako upo fixed sana....kwa mjibu wa takwimu hzo...nimekuuliza kuwa mkoa wa iringa upo juu kwa ukusanyaji wa mapato kuliko mwanza...je mji wa iringa upo juu ya mji wa mwanza? Nikakuuliza tena mkoa wa kilimanjaro upo juu dhidi ya mbeya je mji wa mosh upo juu ya jiji la mbeya? Umekaa kimburura sana na unatumia gia ya kodi kujustify kwamba jiji la mwanza si lolote kwa jiji la arusha kitu ambacho ni nonsense....think big na huo utumbo wako....kuna wakati wilaya ya mfindi ilikuwa juu kwa mapato kuzidi hata wilaya ya arusha...but collectively mkoa wa iringa ulikuwa nyuma ya mkoa wa arusha kwa mapato...!!! Ila wewe hujaliona hili umekomaa na mapato kwa njia ya kodi kama ndiyo gaining point
We kenge leta takwimu za mji....Hehehe kumbe tunapoteza muda na mtu asiye hata na lepe la uelewa.. Hajui kwamba City ndiyo ilitakiwa kuubeba mkoa
Iringa inakusanya 51 Billion wakati Mwanza inakusanya 131 Billion sasa hapo Iringa imeipitaje Mwanza?? Au kusoma hujui? Au viroba kijanaShida yako upo fixed sana....kwa mjibu wa takwimu hzo...nimekuuliza kuwa mkoa wa iringa upo juu kwa ukusanyaji wa mapato kuliko mwanza...je mji wa iringa upo juu ya mji wa mwanza? Nikakuuliza tena mkoa wa kilimanjaro upo juu dhidi ya mbeya je mji wa mosh upo juu ya jiji la mbeya? Umekaa kimburura sana na unatumia gia ya kodi kujustify kwamba jiji la mwanza si lolote kwa jiji la arusha kitu ambacho ni nonsense....think big na huo utumbo wako....kuna wakati wilaya ya mfindi ilikuwa juu kwa mapato kuzidi hata wilaya ya arusha...but collectively mkoa wa iringa ulikuwa nyuma ya mkoa wa arusha kwa mapato...!!! Ila wewe hujaliona hili umekomaa na mapato kwa njia ya kodi kama ndiyo gaining point