Nilichogundua kuhusu Arusha

Jiji halijapangiliwa kabisa at least njiro, moshono,sakina

Nenda kijenge,ungaltd matejo,eso daraja2 na kwingine utashika kichwa unplaned + uchafu mzee
Hahahahahahahaaaaaah naona unawaambia wadau waende wakapaone ungalimi isee unataka wakabwe nn??
 
Mwambie aje na fuba ya kushato iseee
 
Nakaa sakina for ur info.
Ukikaa sakina ndio automatically unajua nani owner wa hiyo mall.
Kama ningekua muajiriwa nipo limited sidhani kama ningejua chocho nyingi za Arusha lakini kutokana na mazingira yangu ninaelewa chocho za Arusha.

Sio rahisi kuijua Arusha vizuri basing on tourism entities kama haupo kwenye industry wapo watu wanaishi Arusha lakini Dolly estate hawajui IPO wapi.
 
Arusha Kia km 45,Kia Moshi Km45,hivyo so kweli kuwa At to Kia in km50,kwa kweli sioni hitaji LA kuwa na uhitaji mwingine WA uwanja
 
Njoo tukuzungushe jijini.jiji halichunguliwi ukiwa ndani ya Lori la mkaa !!
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
 
Hahahahaaaaaah watu wanatokea shamba wanaenda kwa wajomba zao dar wakibahatika kuja arusha wanaanza kusema mara oooh arusha pabaya sjui nini, eleza kwenu kiuhalisia ni wapi af ndo uanze kudisi.. Hatutaki mawaki!!!!!!!!!!!!!
 
ni porini huko
Unajua maana ya recreation centers??
Au city parks??
Master plan ya Kigamboni na ya satellite cities yoyote ile haijawa qualified bila kuwa na recreation centers.

Na jamaa ameielezea correctly kabisa kwamba they are acting like the lungs of the city.
 
Mkuu hilo najua ndio mana nkamwambia arusha huwezi kujenga uwanja mkubwa mana tambarare ni sehemu ndogo sana
Argument dhaifu.... Tambarare inatengenezwa vizuri tu labda serikali iseme haina pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…