Nilichogundua kuhusu Arusha

Arusha vitu vizur vipo ndan ndan...na kwa nje huwez ona mpangilio wenye kuonyesha mandhar ya jiji...unaweza kudhan maghorofa yamejificha kwenye miti
Nahiki ndo kilifanya niikubali Arusha,pako vinzuri aise ukiwa na macho ya juujuu hutaona uzuri wake
 
halafu kuna packing moja matata
 
labda arusha ni pabaya sana ila hata paikiwa puzuri kuna maghorofa na kila kitu wewe itakusaidia nn? Hiyo mikoa mizuri mizuri inakusaidia nn kwenye maisha yako? Maghorofa na hoteli na kila kitu vina wenyewe tafuta vyako ufanye kwako pawe pazuri.
WW UME-COMMENT IMEKUSAIDIA NN??
 
Upekee wa watu wa arusha ni upi zaidi ya kuwa na MENO KAMA KASHATA??
 
Tatizo wakija Arusha wanaishia Stand na Unga Limi
Wanakuja na malori ya Dagaa alafu akiona nyumba imezungukwa na garden anasema hapo ni porini mawe yameshamuathiri psychology kule hamna hata mahali pa kuwekea kopo la maua na utamaduni wa kutengeneza gardens hawana kabisa.
 
Upekee wa watu wa arusha ni upi zaidi ya kuwa na MENO KAMA KASHATA??
Hivi vitu mpaka vifike na manthari kama hii mkoani kwenu ni ndoto

.

Hiyo nyumba ya mwanzo iliyozungushiwa maua imejengwa miaka ya 90 USA River ni muda mrefu Arusha ilishakua mbele.

Na pia hiyo mansion inauzwa kama unaitaka niPM upewe key.
 

Attachments

  • 6efdf92f-2353-4a85-a90f-7c8d010223e4-0.jpg
    130 KB · Views: 48
Wanakuja na malori ya Dagaa alafu akiona nyumba imezungukwa na garden anasema hapo ni porini mawe yameshamuathiri psychology kule hamna hata mahali pa kuwekea kopo la maua na utamaduni wa kutengeneza gardens hawana kabisa.
Naona swahiba wangu Mkuu wa chuo kaja hapa
 
Hivi mwanza wana International school (simaanishi English medium maana mangosha wanaita English medium international) namaanisha zile shule ada ni Mil 10 mpka 20 kwa mwaka...

Mkuu chongchung hebu nisaidie labda wanazo huko Mwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…