Nilichogundua kuhusu Arusha

Mkuu jana nilisema hapa, wataweka hayo manyumba yao ya kishamba huko milimani basi kwisha.. Sasa si unaona pumzi ishakata hahahaha...
Aisee kweli capripoint ndio kioo chao penyewe pako kama zile concentration camps za Hitler.
 
Siongeagi kishabiki mimi hivi pale nyegezi na like group la mama ntilie magenge yametapakaa kila mahali hapohapo wanapikia hapohapo wanaogeshea watoto unafananisha na Arusha??

Bora hats Buzuruga kuliko Nyegezi uchafu ule.
Kwa Chuga hakuna wamama wanaopika pale stendi....? Mbna kila sehemu wapo hapa tz....stendi ya Chuga ni mbovu mno huwez linganisha hata na stendi ya daladala pale sokoni
 
Kwa Chuga hakuna wamama wanaopika pale stendi....? Mbna kila sehemu wapo hapa tz....stendi ya Chuga ni mbovu mno huwez linganisha hata na stendi ya daladala pale sokoni
Arusha stand zipo restaurants na hotels zenye standard hakuna wamama waliopanga benchi na meza wanapikia hapohapo uwanjani kama Mwanza.
 
Nilishasema ziadi ya hizi picha za hizi nyumba mbili tatu mlimani huko hakuna nyingine... Sasa mtu akakae na mawe huko aisee?? Hivi huoni Estate za Arusha tambarare alafu garden za ukweli..
Shida yako wewe umekaa kishabiki sana....kuwa tambarare hyo ni natural..na kila mtu anafanyia kaz mazingira aliyopewa....uwepo Wa tambarare with cold climatic condition kunafavor kujenga such houses...Mwanza milima imetapakaa thus y wanajenga nyumba kama zile but modernised kwa watu wenye uwezo...keep it
 
Nilishasema ziadi ya hizi picha za hizi nyumba mbili tatu mlimani huko hakuna nyingine... Sasa mtu akakae na mawe huko aisee?? Hivi huoni Estate za Arusha tambarare alafu garden za ukweli..
Na sio nyumba mbili Tuuu...zipo nying za kutosha...na Leo ntacheza na Capri point tuu af ukinizingua sana nahamia bwiru...nikiona umekomaa naingia isamilo
 
ha ha ila arusha ni pazuri mkuu tuache utan,kuna jamaa yang wa iringa alifika huku usa river kwa mara ya kwanza akasema atatafuta kiwanja kwa gharama yoyte ilmrad aishi hukuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Umesema Wa iringa....pia hujiulizi kwa nin watu wanakimbilia kuish Mwanza na dar na sio Chuga...? Mtu Wa Mwanza hawez taman kuish Chuga...
 
Ila Arusha ni pazuri sana bana tuacheni masihara!..ndio maana wakoloni walikimbilia na kuwwekeza kule!...ule mji mtamu bwana ukiwa na pesa ni patamu wakuu!...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…