Nilichogundua kuhusu Arusha

Tuwekee picha mkuu... Kwahiyo nyumba zote hizo wanakaa waungu sio.. hahahahahaha
 
Yaani kama mwenge-bamaga-sayansi-moroko-namanga-st peter's ndio traffic light kwenye jiji zima la arusha? yaani barabara ya ali hassan mwinyi ina traffic lights nyingi kuliko mji mzima wa arusha?!
5 Million population against 4 hundred thousands...
 
Hapo ni utalii ni sawa na wewe uweke furu na mapanki.
Mkuu jana nilisema hapa, wataweka hayo manyumba yao ya kishamba huko milimani basi kwisha.. Sasa si unaona pumzi ishakata hahahaha...
 
ha ha ila arusha ni pazuri mkuu tuache utan,kuna jamaa yang wa iringa alifika huku usa river kwa mara ya kwanza akasema atatafuta kiwanja kwa gharama yoyte ilmrad aishi hukuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Na Meru ndio Arusha napakubali sana kuna cribs zimo kule ndani ukiingia unaweza sema upo Zurich nitaziweka hapa.
 
Naona umehamia porini....rud tubanane mjin
hapo cyo porin mkuu, mazingira mazur tu hayo...huon panafanana kama pale white house ya marekani?πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…