Nilichogundua kuhusu Arusha

Unamaanisha congestion?
 
Kwahiyo sababu Mwanza traffic lights IPO moja tu unafikiri na Arusha zipo chache?
Mwanza haipo moja usibishane bila ushahd....za Chuga weka ushahd kama wameinstal zimefikia sita kama unavyodai
 
Hahaaa mashindano ya baiskeli pia kuna mashindano ya safari lager kupiga makasia.mimi hom ni mwz ila kuna vitu vingi jiji la mwanza limekosa mall arusha ziko tatu n hotel za kitalii ndio za kumwaga hapo ndio utaona utaona utofauti mkubwa n mwz
Thibitisha uwepo wa mall tatu arusha...we bwege kweli....ongea vitu relevant
 
Hivi nyegezi nayo ni stand kweli??
Na lile kundi la wakata tiketi kama nzige ni la mini?
Stand ya ngudu IPO nyegezi hivi unaweza kufananisha Yale mazingira na stand ya Arusha?
We we ni boga....nyegezi ufananishe na huo utumbo Wa Chuga?
 
We we ni boga....nyegezi ufananishe na huo utumbo Wa Chuga?
Siongeagi kishabiki mimi hivi pale nyegezi na like group la mama ntilie magenge yametapakaa kila mahali hapohapo wanapikia hapohapo wanaogeshea watoto unafananisha na Arusha??

Bora hats Buzuruga kuliko Nyegezi uchafu ule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…