elmatadorkruz
Senior Member
- Aug 10, 2016
- 195
- 268
hawaitaji wakina T.I kuwaburudisha wanastyle zao kwanzia kuchana adi kucheza {kingalelo}.......... wanajikubali wao nahisi ndo kinachokukera coz naona kama waongea kwa chuki vile tena za wazi wazi kabisa!!........ kupigiwa promo kwa nani akati wanajiimbia wao na kujiburudisha wao wenyewe....... pia nina swali kwanini unakereka wao kua ivo?Hata kama wakileta international rappers kama T.I, Eminem, kanye west n.k huwez peleka Chuga...burdan hakuna kabisa Kule.....wasanii wa chuga ni promo tuu, hakuna lolote..!!!!
Hivi Mwanza kipo kipi hiyo Rock city mall labda wauze furu na udaga hiyo imewashinda ndio ijengwe nyingine saahuni hamna mwenye akili za aina hizo ile hotel ya nssf kule kapri point INA miaka so chini ya 10 bado IPO u\c hotel jb belmont imeshapigwa lock mda mrefu na malaika inauza tu chai ya rangi saivi siiongelei golden crest kifo cha mende sababu Mwanza hotel zipo 2 tu hizo nyingine ni guest houses.Arusha labda ile satellite city iishe....na yenyewe inategemea Hela za wakwepa kodi akina mbowe
Sasa nyie bata mnalijua washamba tu villa ni vumbi tu imezungukwa na mitaro ya maji taka mabati ni kutu tupu viwanja vya kibabe vipo chugga sio hayo majamvi yenu.Hata kama wakileta international rappers kama T.I, Eminem, kanye west n.k huwez peleka Chuga...burdan hakuna kabisa Kule.....wasanii wa chuga ni promo tuu, hakuna lolote..!!!!
Hahahaha! Mkuu asante sana kwa kunifurahisha asubuhi. Mwenyenzi Mungu akubarikiNjoo tukuzungushe jijini.jiji halichunguliwi ukiwa ndani ya Lori la mkaa !!
Acha uKIAzi. Kisongo ni Uwanja wenye ndege nyingi ndogo na hiyo ni Kwasababu ina runway fupi. Uwanja huo upo una ndege nyingi kuliko KIA. Lakini ndege ndogoHuo uwanja ndio nausikia leo, bila shaka utakuwa mdogo sana........ Shukuruni KIA upo jirani ndio unaokoa jahazi.
Tukisema tuanzishe league ya hotels zilizopo Arusha hapa utakimbiaMbna unaonyesha ngurudoto tuu..ambayo soon inaflisika.....
Inaonekana akili yako pia ni uchwara sio bure. Uwanja wa ndege wa Arusha upo busy baada ya ule wa Dar alafu unakuja hapa na akili zako za pombe kuongea ukilazANi kweli make safari zinaanzia KIA
Tumia akili wewe sio kisa unakaa arusha ndio utumie masabuli....fata records utaona baada ya dar ni mwanza ndio inafata kwa ukusanyaji wa mapato.....arusha mmepigwa bao mpaka na mbeya, iringa na moroUsishangae sana.. Mwanza watu ni mara mbili karibia mara 3 ya Arusha lakini kodi Arusha inakusanywa mara 3 ya Mwanza... Utaona hapa pesa iko wapi
Mwambie na yeye alete picha za hiyo satellite city kama hajaleta ramani yake tu.View attachment 403924View attachment 403925
Hyo satellite town ya mwanza inaendelea ujenzi wake...so usfikri mwanza ipo stagnant saaaana....!!!! Slow but steady.....
Sasa hizo slums/mabanda ndio unasema apartments??View attachment 403924View attachment 403925
Hyo satellite town ya mwanza inaendelea ujenzi wake...so usfikri mwanza ipo stagnant saaaana....!!!! Slow but steady.....
Hivyo ni vijiji na ukivifananisha na Arusha ni dharau kwanza Arusha haipo kwenye mikoa yenye umasikini uliokithiri kama Mwanza.Kufananisha Rock city na mavitu ya kijinga ni kuukosea heshima mkoa wa mwanza......arusha pana uzuri wake hila kwa sasa ligi yake ni mbeya, Tanga au iringa hila Mwanza is too far kwa ligi ndogo hiyo yenu.........
Aliyekudanganya nani bwana mdogo... Hao Mbeya wamezidiwa hadi na Mtwara.. Hao Mwanza wamezidiwa hadi na Kilimanjaro..Tumia akili wewe sio kisa unakaa arusha ndio utumie masabuli....fata records utaona baada ya dar ni mwanza ndio inafata kwa ukusanyaji wa mapato.....arusha mmepigwa bao mpaka na mbeya, iringa na moro
Alafu washamba washamba hahahahaHivi Mwanza kipo kipi hiyo Rock city mall labda wauze furu na udaga hiyo imewashinda ndio ijengwe nyingine saahuni hamna mwenye akili za aina hizo ile hotel ya nssf kule kapri point INA miaka so chini ya 10 bado IPO u\c hotel jb belmont imeshapigwa lock mda mrefu na malaika inauza tu chai ya rangi saivi siiongelei golden crest kifo cha mende sababu Mwanza hotel zipo 2 tu hizo nyingine ni guest houses.
Huko igoma mnaposema ndio prime area ni mazizi ya ng'ombe tu yametamalaki sidewalks barabani wamejaa wamama kwa vijana wamekaa chini wanauza karanga kuanzia nata mpaka sahara kuanzia nera mpaka voil city center pote wamejaa wamachinga Hanna njia ya waenda kwa miguu wachafuwachafu tu.
Hahahahaha huo uchafu sijui plot 500 ndio ufananishe na satellite city?? Huo uchafu mbona unafanywa na watu wa kawaida Arusha?? Tena usikute hata hiyo kampuni ni ya Arusha au MchaggaView attachment 403924View attachment 403925
Hyo satellite town ya mwanza inaendelea ujenzi wake...so usfikri mwanza ipo stagnant saaaana....!!!! Slow but steady.....
Tetesi hahahahaha... Mikutano haiwezi amia Dodoma endeleeni kujidanganya. Hiyo mikutano ipo Arusha strategically sababu ya kuutangaza Utalii kwa njia rahisi.. Unafikiri utapeleka mikutano ya kimataifa sehemu kame kama Dodoma?? ThubutuuuuArusha nguvu ya serikali tuuu....ona Hela za chai zimendolewa mmeanza kuuza mahoteli.....na ngoja mikutano ihamie Dodoma uone.....na kwa taarifa yako hyo satellite ya usariver ime be redirected kujengwa Dodoma.....hata inayojengwa applicability yake sjui itakuwaje....na tetesi zilizopo mchoro/render imepunguzwa....
Arusha business ya real estate ni ya miaka Mingi sana hata kabla satellite cities hazikuja.Mwambie na yeye alete picha za hiyo satellite city kama hajaleta ramani yake tu.
Dah yaani sijaona watu wanaoishi town washamba kama Mwanza yaani Mwanza ni busy village.Alafu washamba washamba hahahaha
Hivi ile kitu ya Mateves imefikia wapi...?!Hahahahaha huo uchafu sijui plot 500 ndio ufananishe na satellite city?? Huo uchafu mbona unafanywa na watu wa kawaida Arusha?? Tena usikute hata hiyo kampuni ni ya Arusha au Mchagga